Kulikoni UDOM?

kintunu

Member
Jul 20, 2011
11
0
jamani wana jf nasikia udom wamefanya interview kimyakimya siku ya jumapili,je kuna mdau ana taarifa hiyo?
 
Msikate tamaa jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mliokosa.
 
Hiyo taarifa nani kakupa. Kama angekupa na source ingekuwa rahis kubain ukweli huo. Binafsi niliapply na siamin km wangefanya hivyo bila kupublish hata kwenye website yao.
 
kilichotokea UDOM ni kwamba waliita watu 16 kwa ajili ya interview kuweza kupata wahasibu ambao watakuwa katika kitengo cha Mikopo ya wanafunzi kuweza kukabili mfumo mpya wa kulipa wanafunzi vyuoni ambao umeanzishwa na HESLB (bodi ya mikopo) hivyo nafasi ni mpya zimejitokeza kutokana na mfumo mpya wa bodi ya mikopo nafasi za uhasibu zilizotangazwa mwanzo bado mchakato wa shortlisting unaendelea ingawa hao 16 walioitwa walitokana na wale walioomba nafasi zilizotangazwa

Hivyo vijana muendelee kusubiri zile nafasi ziko palepale

Kutoka source ya kuaminika
 
  • Thanks
Reactions: Obe
tuendele kusubiri tu ndugu yangu. tusikatishane tamaa wana JF bali tuambiane taarifa zenye uhakika​
 
UDOM huwa hawatangazi tarehe ya interview, bali aliyechaguliwa hupigiwa simu kwenda kwenye interview na ndivyo ilivyokuwa kwangu. Kama wamefanya J2 hiyo inawezekana kabisa, lakini usikate tamaa ipo siku utapata mahali pengine kwani lazima uende kufanya kazi UDOM??????.
 
kilichotokea UDOM ni kwamba waliita watu 16 kwa ajili ya interview kuweza kupata wahasibu ambao watakuwa katika kitengo cha Mikopo ya wanafunzi kuweza kukabili mfumo mpya wa kulipa wanafunzi vyuoni ambao umeanzishwa na HESLB (bodi ya mikopo) hivyo nafasi ni mpya zimejitokeza kutokana na mfumo mpya wa bodi ya mikopo nafasi za uhasibu zilizotangazwa mwanzo bado mchakato wa shortlisting unaendelea ingawa hao 16 walioitwa walitokana na wale walioomba nafasi zilizotangazwa

Hivyo vijana muendelee kusubiri zile nafasi ziko palepale

Kutoka source ya kuaminika
Nadhani mdau umeeleza na kutoa taarifa sahihi sana, wanaoshabikia habari za vijiweni na kujidai wameitwa ilhali ni stress zinawasumbua hawafai kukaa wanachangia thread za namna hii
 
kilichotokea UDOM ni kwamba waliita watu 16 kwa ajili ya interview kuweza kupata wahasibu ambao watakuwa katika kitengo cha Mikopo ya wanafunzi kuweza kukabili mfumo mpya wa kulipa wanafunzi vyuoni ambao umeanzishwa na HESLB (bodi ya mikopo) hivyo nafasi ni mpya zimejitokeza kutokana na mfumo mpya wa bodi ya mikopo nafasi za uhasibu zilizotangazwa mwanzo bado mchakato wa shortlisting unaendelea ingawa hao 16 walioitwa walitokana na wale walioomba nafasi zilizotangazwa

Hivyo vijana muendelee kusubiri zile nafasi ziko palepale

Kutoka source ya kuaminika

Wewe ni Shabani Mlacha nini?? Source za kuaminika in which sense???
 
jamani wana jf nasikia udom wamefanya interview kimyakimya siku ya jumapili,je kuna mdau ana taarifa hiyo?

" If u don' here from us until the end of........, consider urself unsuccesful....!" i think ni ki2 kama hiko!! Pole sana mkuu, i knw de way u feel! but u knw wht chuck; unapodondosha CV ama applicvation mahali usipende kusikilizia kwamba utaitwa lini----hiyo mambo mazeiya ni full gonjwa la moyo!!!! Dondosha ki2 mahali halafu potezea.....!!!!
 
Wewe ni Shabani Mlacha nini?? Source za kuaminika in which sense???
waliosikia wamesikia kama wewe uamini kaa hivyo hivyo usiamini. Nina ndugu yangu yuko UDOM HR nilipoona hii thread nili take trouble kumpigia ndio akanieleza hivyo sina interest yoyote after all im not looking for job nimetoa msaada tu
 
  • Thanks
Reactions: SG8

kume hata huku unakuweza c jukwaa la mambo ya kikubwa, we ni kilaka, thanx kwa taarifa nzuri
 
Dah! kwakweli kama ndio itakuwa hivyo basi tena maana hata mm niliaplai huko na wala sijasikia chochote zaidi ya haya ninayoyaona humu ktk JF,Ila wadau wenzangu tusikate tamaa naamaini ipo siku tutakuwemo ktk list hata kama sio UDOM
 
waliosikia wamesikia kama wewe uamini kaa hivyo hivyo usiamini. Nina ndugu yangu yuko UDOM HR nilipoona hii thread nili take trouble kumpigia ndio akanieleza hivyo sina interest yoyote after all im not looking for job nimetoa msaada tu

TUNASHUKURU KWA KUWA NA MOYO WA UPENDO KWA SISI WATANZANIA WENZAKO. Mungu akubariki. All da best.
 
Jamani mm ni mdau mpya na nimependa sana jins wana jf mnavyozikokotoa mada na michakato ya ajira hongereni and i will be there maana hata mimi mda ya udom inanihusu.
 
Back
Top Bottom