Je umeishia wapi uchunguzi wa kifo cha Kombe aliyekuwa mkuu wa kikosi cha usalama na Mh. Chacha Wangwe, aliyekuwa Mbunge wa Tarime aliyefariki dunia kwa ajali ya gari.
Tunaomba DATA
'funika kombe mwanaharamu apite'...over!Mimi kwa wakati huu sikae Tanzania, ila kama kuna Mtanzania anayejua taarifa ya kifo cha KOMBE kama ilitoka hadharani ningeliomba kujua maana ni zaidi ya miaka 10 !