Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 37,460
- 78,664
Tamasha la jinsia 2011, linaendelea katika viwanja vya Mabibo, ila kubwa linalo nishtua ni hili kundi la mashoga, ambao wako hapa, nao wanataka watambuliwe na wapewe haki za msingi..
Wameitaka TGNP iwasaidie.. kufikia malengo yao..Je wanataka haki ipi? Na watambuliwe kivipi?
Wameitaka TGNP iwasaidie.. kufikia malengo yao..Je wanataka haki ipi? Na watambuliwe kivipi?