Kulikoni TBC haiendeshi vipindi juu ya mswada wa katiba mpya kama itv, star tv! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulikoni TBC haiendeshi vipindi juu ya mswada wa katiba mpya kama itv, star tv!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JOB SEEKER, Nov 14, 2011.

 1. JOB SEEKER

  JOB SEEKER Senior Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF,Nimekuwa nikifuatilia vipindi mbalimbali juu ya mswada wa katiba mpya katika television vinavyowakutanisha makundi mbalimbali ya jamii kama vijana,wazee,wanawake ,watoto wenye umri na taaluma tofauti wenye kutoa michango iliyobeba mawazo na mitazamo tofauti yenye nia na lengo la kujenga mswada wa katiba mpya.Lakini sijawahi kuona vipindi kama hivyo juu ya mswada wa katiba mpya vikionyeshwa na television ya taifa (TBC), ni kwanini ? na kwa mamlaka ya nani wana fanya hivyo? Hichi ndicho chombo kinacho wafikia watanzania wengi kwa ujumla na kwa wakati mwafaka, Je ! tujiulize swala la mswada wa katiba mpya halina maslahi kwao kama vipindi vya miaka 50 ya uhuru!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kwanini wenzao kama ITV,STAR TV, wanaweza kukidhi maslahi ya watanzania lakini wao washindwe, Je !! maslahi ya taifa yana maslahi gani na maana ipi kwao??? Job Seeker.

   
 2. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 1,963
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Wanaogopa yalomkuta Tido Mhando. Wasaliti
   
 3. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,139
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  Ajabu ila rostam akitaka kumpaka mengi anarushwa hewani .Mzee wa upako anataka kuruka tbc kwa pesa yake ananyimwa.
   
 4. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ha ha! ni thithiem hamjui!
   
 5. Mzee Dogo

  Mzee Dogo JF-Expert Member

  #5
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 369
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Kwani inawahusu?
   
 6. E

  Evergreen Senior Member

  #6
  Nov 14, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona na wewe umechangia,sio mbaya maana ukikaa muda mrefu bila activity yeyote wanaweza wakai-deactivate account!!!
   
 7. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #7
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 22,242
  Likes Received: 9,259
  Trophy Points: 280
  hehehehehe mleta uzi umesahau tena kuwa tbc ni gamba ++
  kuliko waonyeshe habari za midahalo ambayo wanauhakika
  inapingana na sirikali bora wamuonyeshe king majuto
   
 8. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #8
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,362
  Likes Received: 741
  Trophy Points: 280
  .........yale ya mchakato majimboni hayajasahaulika, mwe!
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 34,567
  Likes Received: 11,474
  Trophy Points: 280
  wamelewa madaraka ,,vyombo kama hivi inabidi visifungamane na siasa kabisa viwe free bila hivyo kutakuwa hakuna la maana zaidi ya blah blah
   
 10. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #10
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,306
  Likes Received: 2,335
  Trophy Points: 280
  it is not in their power clinging interest.
   
 11. P

  Packysf Member

  #11
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo ya tido inatosha,kijana kumbuka mchakato majimboni,ohoooooooooo,,,,,,
   
 12. m

  mgosiwakaya Member

  #12
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Bosi aliyepo anayakumbuka yalimkuta boss alimtangulia(mhando)....analinda kibarua watoto waende toilet!
   
 13. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #13
  Nov 14, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,606
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  inaendeshwa kwa kodi yako nduguu...
   
 14. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #14
  Nov 14, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,606
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  what do yo mean THEIR? Isn't our taxes running the corporation?
   
 15. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #15
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  TBC imegeuka kuwa Televisheni ya Magamba
   
 16. Fullfigadiva J

  Fullfigadiva J Member

  #16
  Nov 14, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kwanini TV channels za bongo zinaboa?????? Hakuna mwenye afadhali yaani zote hovyo, Kisiasa na maslahi ya nchi ITV inaongoza.
   
 17. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #17
  Nov 14, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,524
  Likes Received: 1,231
  Trophy Points: 280
  Hyo ni ishara kwamba serikali haitaki..
   
Loading...