Kulikoni Salama Kondom na Dume, kuadimika sokoni?

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,982
4,457
Habari wapendwa?

Ni muda sasa umepita toka mwezi wa 12 mwaka jana hakuna kondom sokoni(kama mtu anazo ni stock) nimejaribu kuuliza nikaambiwa haziji Tanzania mpaka mwezi wa sita watakapo pata vibali upya.

Kwa wauza maduka jumla na rejareja watakua wanajua kinachoendelea. Kufikia sasa kondom imepanda bei toka 500 hadi 1000. Mwenye taarifa zaidi tunaweza kushare pamoja.

Au ndo ile kauli hakuna haja ya mpango wa uzazi, kila mtu azae anavyoweza?

Asanteni karibuni jamvini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika hili swala la salama (kondomu) tunaomba liangaliwe upya kwani kwa sasa hivi hali mbaya kondomu paketi moja ni sh 1,000 kutoka tsh 500 hali ni mbaya na mbali na bei hiyo lakini zimekuwa chache sana madukani kwa maana hiyo tutarajie mimba+ magonjwa kama ukimwi n.k
 
mzee mbona hiyo cheap sana, nchi zingine bei ya condom imesimama

price 17.00$

1549906148028.png
 
Bado unatumia kondom za bei rahisi kama Salama hafu unalalamika bei, demu utamhonga kweli? Na gest au ndo utaenda zile za Tsh 5000?
Hakika hili swala la salama (kondomu) tunaomba liangaliwe upya kwani kwa sasa hivi hali mbaya kondomu paketi moja ni sh 1,000 kutoka tsh 500 hali ni mbaya na mbali na bei hiyo lakini zimekuwa chache sana madukani kwa maana hiyo tutarajie mimba+ magonjwa kama ukimwi n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku kwetu sumbawanga mtowisa hatujui ata matumizi ya condom sisi ni kwenda kavu tuu...

Kati ya vijana 10 basi 7 ni waathirika wa UKIMWI hivyo ni bora twende kavu tutakunywa dawa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom