2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 2,982
- 4,457
Habari wapendwa?
Ni muda sasa umepita toka mwezi wa 12 mwaka jana hakuna kondom sokoni(kama mtu anazo ni stock) nimejaribu kuuliza nikaambiwa haziji Tanzania mpaka mwezi wa sita watakapo pata vibali upya.
Kwa wauza maduka jumla na rejareja watakua wanajua kinachoendelea. Kufikia sasa kondom imepanda bei toka 500 hadi 1000. Mwenye taarifa zaidi tunaweza kushare pamoja.
Au ndo ile kauli hakuna haja ya mpango wa uzazi, kila mtu azae anavyoweza?
Asanteni karibuni jamvini
Sent using Jamii Forums mobile app