Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Inawezekana Prof. hajapona jamani. Alienda Pilpililand kutibiwa hivyo hawezi kukubali kurejeshwa kama afya yake bado haijaimarika. Pia haiwezekani mtu kama Prof. M ang'ang'anie nchi ya watu bila sababu ya msingi. Taarifa za Mawaziri wetu nazo siyo za kuamini sana maana kuna siasa nyingi hata katika mambo ya msingi. Hebu angalia waziri mwenyewe anamshangaa mgonjwa badala ya kuchukua hatua stahili.