Kulikoni Prof. Mwandosya kugoma kurudi Tanzania?

Atakuwa na hofu akirudi watammalizia hao wabaya wake
Yawezekana kashakata kamba sasa jamaa wana delay ili watafute kisingizio kuwa jamaa kafia mtaani alikokuwa anapiga box baada ya kuwa ameshatoka salama hospital.....hahaha nimekumbuka mbali sana
 
Kama kweli hayo uliyotoa ni maneno nukuliwa kutoka kwa waziri wa afya, Basi serikali ya kikwete haina waziri wa AFYA ukizingatia anakiri hajui sababu ya kwa nini harudi nchini, anatupa maswali mengi sana kwa kukurupuka na majibu ya hovyo yasiyo na hata chembe ya kiutafiti. kwa lugha ya kwetu nigethubutu kumwita "MSHIRIKINA"
Ndio stahili ya viongozi wa ccm, usishangae kesho akakana ya kuwa alinukuliwa vibaya!
 
Huyo waziri wa afya anajua siri zote, aache kutuzuga watanzania. Vyanzo vya magonjwa yao viko mikononi mwake. Mark sio mjinga!!!!!
 
Kama kweli hayo uliyotoa ni maneno nukuliwa kutoka kwa waziri wa afya, Basi serikali ya kikwete haina waziri wa AFYA ukizingatia anakiri hajui sababu ya kwa nini harudi nchini, anatupa maswali mengi sana kwa kukurupuka na majibu ya hovyo yasiyo na hata chembe ya kiutafiti. kwa lugha ya kwetu nigethubutu kumwita "MSHIRIKINA"

Ila Afadhali Yeye, Mbona mkubwa Wake JK hadi leo hii hajui kwanini Tanzania ni masikini wala mmiliki wa Richmond...Itafikia stage hadi Dr livingstone Lusinde na Profesa MajiMarefu watapewa kuongoza wizara
 
Kwa nini wasipigiane simu waulizane sababu kisha waambiane sababu bila kushirikisha Umma?
Ina maana Serikali ya JK imekosa mawasiliano kiasi hiki?
 
Waziri wa afya Dr Mponda amesema anashangazwa na prof Mwandosya kukataa kurudi Tanzania na huku alishapata discharge ktk hospital aliyokuwa akitibiwa India!

Je ni nini haswa Mwandosya ana choogopa kurudi home?

Gharama za hotel nani analipa kwa sasa?

Hii Taarifa inaweza kuwa na uhusiano na post ya Faza Foksi.
Au zinaweza kuwa zimetoka chanzo kimoja.

''Is he still alive?''
 
Jamani mbona tumekimbilia kuamishia lawama kwa Pro Mwandosya baada ya kutafiuta chanzo cha tatizo linalomzuia kuludi nyumbani jamani?

Jamni tuwe na utu wana JF,kwa kuwa great thinker daima uwa na utu,hakuna great think aliyetokea ndani ya dunia hii kuwa na roho mbaya na chafu.Hivyo sitegemei ujiite great thinker harafu uwe na roho ya kwanini au korosho basi wewe sio.

Tuvae viatu vya Mzee huyo jamani,aalienda kama mgonjwa na sasa,uenda kapata aueni na kama taarifa hiyo ni kwali basi sie wana JF tujiuulize kulikoni tena nini?

Sio kumwagia lawama ho mara kodi yetu,wakati kaumia akiwa anawatumika nyie nyie.Hakika mnajua JF ni jukwaa ambalo linasaidia japokuwa sio chombo cha chenye mamlaka ila kupitia yanayojili humu majibu na matokeo upatikana.

Tutafute sababu kwanini hataki kuludi nyumbani?

you have a point, hata mi maneno ya huyo waziri yamenishangaza. Madaktari watueleze hivi kuwa discharged ndo kupona? Mi nilidhan ni kukamilisha dozi tu then ukajisikilizie nje ya hosptal! Kwa mtazamo wa waziri yeye alitaka akiruhusiwa tu wodini aelekee airport kurudi bongo. Jamani hivi hawa mawaziri jk aliwatoa wapi? Halafu ndo wasomi wetu! Nina mpango wa kujoin Phd mwakani lakn naanza kupata kigugumizi na hii elimu yetu.
 
Anaiogopa Nchi yake; Hawezi kurudi Bongo...

Naona Mwakyembe pia hata rudi...

alisha weka ahadi na watz kuwa akitoka huko atakuja kumwanga kila kitu aliyoyaacha ili kuilinda serikali ya kikwete kwenye issue ya richmond
 
kwa nini wasipigiane simu waulizane sababu kisha waambiane sababu bila kushirikisha umma?
Ina maana serikali ya jk imekosa mawasiliano kiasi hiki?

hypocrites!
Wao wanadhani cc
mapopompo
huyu waziri c tunamlipa cc
na kwanini sirikali
isijue kwanini hataki
kurudi? Wkt ktk hali
ya kawaida anatakiwa awepo kazini?
Huu ni ujinga nyambafu
 
Waziri wa afya Dr Mponda amesema anashangazwa na prof Mwandosya kukataa kurudi Tanzania na huku alishapata discharge ktk hospital aliyokuwa akitibiwa India!

Je ni nini haswa Mwandosya ana choogopa kurudi home?

Gharama za hotel nani analipa kwa sasa?
........naomba tukumbushane hizi siasa, (hapa ninukuliwe ni siasa uchwara), mheshimiwa huyu aliwahi kuapa, huko nyuma, kwamba Jk angeshinda urais, yeye angehama nchi kwa kipindi chote cha uongozi wa JK. (yaani mihula 2 ya urais, ule wa kwanza(81%) na mwingine wa kuachiana(61%). Inawezekana ameanza kutekeleza ahadi zake japo kwa kuchelewa; hv huyu mh na Nape wana uhusiano wa aina yeyote mbona wanafanana!! mwenye jibu plz
 
"........naomba tukumbushane hizi siasa, (hapa ninukuliwe ni siasa uchwara), mheshimiwa huyu aliwahi kuapa, huko nyuma, kwamba Jk angeshinda urais, yeye angehama nchi kwa kipindi chote cha uongozi wa JK. (yaani mihula 2 ya urais, ule wa kwanza(81%) na mwingine wa kuachiana(61%). Inawezekana ameanza kutekeleza ahadi zake japo kwa kuchelewa; hv huyu mh na Nape wana uhusiano wa aina yeyote mbona wanafanana!! mwenye jibu plz"


....................................Baba na Mwana ...........................
 
ama umepata sehemu ya kufundisha chekechea akawafundishe tu watoto wa wahindi..
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu atajiuliza mara mbili kama kweli huyu Dr. Mponda angeweza kutamka maneno kama hayo kuwa eti Prof. Mwandosya karuhusiwa kutoka hospitalini lakini ameng'ang'ania huko huko hospitalini!! It does not make sense kwasababu Blandina Nyoni alikuwa huko India hivi karibuni na alivyorudi alitoa statement kuwa wanaendelea vizuri na kati yao karibu wanarudi!! Mgonjwa gani asiyefurahi kuruhusiwa na Daktari wake kurudi nyumbani kwake? I hope huyu waziri wa afya was misquoted by the tabloids otherwise his credibility will be questioned.
 
Anaiogopa nchi yake, maana anajua akisharudi, next attempt hakutakuwa na muda wa kumpeleka India, chezea magamba wewe!



Il Gambino.
 
This is Disinformation inayofanywa na Jarida la Dira kwa malengo yao wenyewe.

Nampa benefit of the doubt Waziri Dr. Mponda kuwa Dira wamemuwekea maneno mdomoni kupamba habari.

Kuna tofauti kubwa tu kati ya;
Discharge from the Hospital (Inpatient/Wodini), lakini ukabaki na follow up clinics weekly/bi weekly(Kama mgonjwa wa nje).

Discharge from Hospital (All Services), kwa maana hata Outpatient Clinics zote wamekuruhusu kusafiri, na

Kitu kingine wanaita Fit To Travel By Air Certificate, ambayo inatolewa na daktari anaye mmonitor.

Sasa Dr. Mponda alipaswa aeleze hiyo Discharge ni ipi na whether ameshapewa Fit to Travel By Air Certificate then
pengine watu wangeweza kuconclude wakiwa na picha kamili.
 
Back
Top Bottom