napenda kuchua nafasi hii kutoa malalamiko yetu sisi wafanyakazi wa NIMR juu ya bodi ya wakurugeni katika taasisi yetu.kwani bodi hii haijateuliwa tangu mwaka 2007 mpaka leo na hatujui sababu nini,kutokuwepo kwa bodi hii ya wakurugenzi kunatuthiri kwa kiasi kikubwa,mambo mengi yamesimama kwa kuwa hakuna bodi e.g kupanda vyeo,ajira mpya,tunaomba waziri mwenye zamana Prof Mwakyusa atueleze kunatatizo gani hasa linalosababisha kutoteuliwa kwa bodi hii au ni conflict of interest na uongozi wa juu wa National Institute for Medical Research (NIMR)
Last edited: