Kulikoni mustapha hassanali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulikoni mustapha hassanali

Discussion in 'Entertainment' started by Geza Ulole, Nov 8, 2009.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2009
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,064
  Likes Received: 3,986
  Trophy Points: 280
  Wana JF naomba kuuliza mbona huyu mwanamitindo wetu amepungua ghafla? Hivi kweli mtu anayefanya diet au mazoezi anaweza pungua namna hiyo akawa kama box yaani ametepweta? au ndo mambo ya visu yameingia Bongo? naombeni ufafanuzi je Mustapha amefanya plastic surgery au?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hivi Daktari wake yumo humu JF?

  Unaonyesha uko karibu sana nae, si utuambie,badala ya kuanzia mbaali...maana sidhani kama unaongea kwa ku`base kwenye picha za runinga au magazeti...! lol!
   
 3. Mauza uza

  Mauza uza JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 2,049
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  easy tu,mbona huku mamtoni watu wanajipunguza uzito kuliko hata huyo hassanali,bongo bana!!!!!!watu waacha kukata issue za kiwira,richmonduli etc. mnamwaangalia mdosi. tambarareeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,348
  Likes Received: 5,653
  Trophy Points: 280
  ushasikia""""mwanamitindo"""" nxty??
   
 5. R

  Rodelite JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2009
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 320
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Inaelekea huyu mwanamitindo anahusudiwa sana na watu huko Bongo......lakini nasikia hana lugha nzuri......nasikia maneno yake ni ya karaha lakini watu wanaendelea kumpa ujiko kwasababu ana pesa....

  My take...
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahahah na wewe kaka haya ni majungu bwana kila mtu na life lake huwezi kuwafurahisha binadamu ..ukifanya mazuri hawasemi ukikosea kidogo balaa tupu
   
 7. Jerome

  Jerome Senior Member

  #7
  Nov 18, 2009
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu jamaa alikuwa na hali mbaya kwa ile weight yake,msimshangae ni mambo ya diet tu na kukata mwili hata wewe ukitaka waone wachina watakusaidia kama unataka kuongeza ama kupunguza umbile lolote upendavyo, China hoyeeee!
   
Loading...