Kulikoni miziki ya nyumbani haioneshwi kwenye video?

delusions

JF-Expert Member
Jan 11, 2013
5,003
1,279
Nimekuwa nikiangalia tangu jana tv station zetu za hapa tz hasa za miziki hazionyeshi video za hapa home kwa saana kama ilivyozoeleka yaani kama leo tv moja kuanzia asbh hadi saa hz ni kama tuko nigeria na usa kulikoni ni mgomo au???
 
mkuu naona ile sheria ya artists wakibongo kulipwa ishaanza kufanya kazi
 
Back
Top Bottom