Kulikoni mbona uchaguzi wa TZ haukuwa na coverage ya international media kama Uganda?

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
WanaJF,
Wakati wa uchaguzi wa rais, wabunge na madiwani mwaka jana sikubahatika kuona coverage yoyote kwenye luninga katika vituo vya CNN, Aljazeera, BBC, SkyNews, n.k kuhusu uchaguzi huo. Walioona tafadhali wasisite kunikosoa hapa. Lakini pamoja na yote, mbona coverage ya vyombo hivyo vya habari imekubwa mno kwa Uganda ikilinganishwa na hjapa kwetu TZ? Is there any reason, au ndiyo dalili za kanchi ketu kutofahamika kimataifa?
 
Back
Top Bottom