Syolosu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2019
- 867
- 1,008
Jana 29/11/2020 wauzaji wa mbolea wanadai bei elekezi ya kuuzia mbola imeongezeka.
Tarehe 26/11/2020 nimenunua mfuko wa DAP kwa 52,000/ Jana mfuko huohuo naambiwa 66,000/= hii bei mbona inabadiliko kubwa sana hivyo.
Ina maana Mamlaka husika ndizo zimepanga bei hii na tukumbuke mbolea haina VAT kwamba bei hii ndo wameona rafiki kwa mkulima anaelisha Taifa hili.