Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 19,526
- 37,941
Tupe historia kidg ya huyo bintKweli kabisa na baba yake alimkataa kweli dunia inajua kufundisha ......... ushuhuda wa mama yake mzazi alimzaa angali bado mwanafunzi , ila wazazi walimsamehe na kumwendeleza aliapa alikojikwaa hatarudia tena na ikabidi yeye na mwanaye mpk kieleweke Mungu ni mwema hakumwacha