Wamejikita kwenye kujenga miundombinu ya shule wameshasahau maslahi ya walimu na kutoa chakula kibovu kwa wanafunziMatokeo yametoka jana lakini siwaoni katika KUMI BORA kulikoni?.
Yes, tulivyozoea shule hizo!Kwani ni lazima wawe kumi bora??
Discipline ya watoto ilishuka. Imeathiri sana matokeo! Lakini kumbuka mwaka 2015????? ilikuwa ya 67. Wakarekebisha makosa ikawa ya 6, 2016???? mwaka uliofuata ikawa ya 2 (sina uhakika na miaka) Nadhani watarekebisha makosa!Wamejikita kwenye kujenga miundombinu ya shule wameshahau maslahi ya walimu na kutoa chakula kibovu kwa wanafunzi
Mkuu kumpongeza kunaingiaje hapaWa kwanza Form six ametoka Feza Boys EGM, nilimpongeza kijana kwa juhudi zake pia juhudi za wazazi wake kumsalimia ada ya Feza Boys.
Ni wapiga kura wangapi wenye uwezo wa kulipa ada hii?
Shule ngapi za kata zinaweza kutoa namba one?
Tabaka kwetu la wapiga kura litabaki kuwa la wapiga kura.
Shule za feza huwa zinapata mtihan mwezi mmoja kabla ya nectaKuna uwezekano mkubwa hizi shule zikawa zinaiba mitihani mfano ni Alliance toka walivyodakwa wamepotea kabisa kwenye game
Nasikia ni wakike!Wa kwanza Form six ametoka Feza Boys EGM, nilimpongeza kijana kwa juhudi zake pia juhudi za wazazi wake kumsalimia ada ya Feza Boys.
Ni wapiga kura wangapi wenye uwezo wa kulipa ada hii?
Shule ngapi za kata zinaweza kutoa namba one?
Tabaka kwetu la wapiga kura litabaki kuwa la wapiga kura.
Kawaulize,bwege weMatokeo yametoka jana lakini siwaoni katika KUMI BORA kulikoni?.
T 0 mwaka 2019 F6 from St marys mazinde juuMatokeo yametoka jana lakini siwaoni katika KUMI BORA kulikoni?.
Marian boys ya 35Watakuwa kwenye 20 bora
Wa kwanza Form six ametoka Feza Boys EGM, nilimpongeza kijana kwa juhudi zake pia juhudi za wazazi wake kumsalimia ada ya Feza Boys.
Ni wapiga kura wangapi wenye uwezo wa kulipa ada hii?
Shule ngapi za kata zinaweza kutoa namba one?
Tabaka kwetu la wapiga kura litabaki kuwa la wapiga kura.
Hizi Marian boys wamekatwa makusudi. Kuna habari zinajitokeza kuwa kuna deliberate move ya kuzizima! Mungu nisaidie kama ni uvumi usio na ukweli!Marian boys ya 35