Kulikoni Marian Boys na Girls matokeo ya kidato cha sita

Wamejikita kwenye kujenga miundombinu ya shule wameshahau maslahi ya walimu na kutoa chakula kibovu kwa wanafunzi
Discipline ya watoto ilishuka. Imeathiri sana matokeo! Lakini kumbuka mwaka 2015????? ilikuwa ya 67. Wakarekebisha makosa ikawa ya 6, 2016???? mwaka uliofuata ikawa ya 2 (sina uhakika na miaka) Nadhani watarekebisha makosa!
 
Wa kwanza Form six ametoka Feza Boys EGM, nilimpongeza kijana kwa juhudi zake pia juhudi za wazazi wake kumlipia ada ya Feza Boys.

Ni wapiga kura wangapi wenye uwezo wa kulipa ada hii?
Shule ngapi za kata zinaweza kutoa namba one?

Tabaka letu la wapiga kura litabaki kuwa la wapiga kura.
 
Nadhani Kumi bora ya Marian schools, si hoja bado wanatoa elimu bora. Tusikitike kauli ya mkuu wetu kupotosha tuzaliane hovyo! Ili hali over populatution shule za umma ni janga kubwa.
 
Wa kwanza Form six ametoka Feza Boys EGM, nilimpongeza kijana kwa juhudi zake pia juhudi za wazazi wake kumsalimia ada ya Feza Boys.

Ni wapiga kura wangapi wenye uwezo wa kulipa ada hii?
Shule ngapi za kata zinaweza kutoa namba one?

Tabaka kwetu la wapiga kura litabaki kuwa la wapiga kura.
Mkuu kumpongeza kunaingiaje hapa
 
Wa kwanza Form six ametoka Feza Boys EGM, nilimpongeza kijana kwa juhudi zake pia juhudi za wazazi wake kumsalimia ada ya Feza Boys.

Ni wapiga kura wangapi wenye uwezo wa kulipa ada hii?
Shule ngapi za kata zinaweza kutoa namba one?

Tabaka kwetu la wapiga kura litabaki kuwa la wapiga kura.
Nasikia ni wakike!
 
Matokeo yametoka jana lakini siwaoni katika KUMI BORA kulikoni?.
T 0 mwaka 2019 F6 from St marys mazinde juu
Screenshot_20190712-101146.jpeg
 
Wa kwanza Form six ametoka Feza Boys EGM, nilimpongeza kijana kwa juhudi zake pia juhudi za wazazi wake kumsalimia ada ya Feza Boys.

Ni wapiga kura wangapi wenye uwezo wa kulipa ada hii?
Shule ngapi za kata zinaweza kutoa namba one?

Tabaka kwetu la wapiga kura litabaki kuwa la wapiga kura.

Funguka mkuu ada shilingi ngapi? Uchumi huu balaa
 
Back
Top Bottom