Kulikoni Leaders Club?

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,520
2,091
Habari za siku wana Jamii Forum? Mimi ni mdau ambaye nafuatilia tasnia ya burudani... Majuzi nimeshangazwa na habari kuwa Bendi ya Twanga haitafanya tena maonesho pale Leaders club na leo nimepata mshituko baada kupata habari ya onesho la msanii Been Man kutoka Jamaica litafanyika Uwanja wa Chuo cha TTCL KijitonyamaMwenye jibu kuwa nini kinaendelea atujuze
 
Mkuu Tusker Bariiidi,

Ninavyofahamu mimi Bendi ya Twanga uwa inafanya maonyesho yake pale Leaders Club kwa udhamini wa TBL. Inawezekana TBL wamechomoa huo udhamini na hivyo Twanga hawawezi kuendelea kutoa burudani pale free of charge.

Kuhusu kwa nini msanii Been Man kutoka Jamaica atafanya onyesho lake kwenye uwanja wa chuo cha TTCL, labda ungetwambia wewe ulitegemea onyesho hilo lifanyike wapi na kwa nini unafikiri lilipashwa kufanyika hapo ulipopafikiria badala ya uwanja chuo cha TTCL.

Tiba
 
uongozi wa leaders umesitisha shughuli zote za burudani ndani ya viwanja vyao kwa ajili ya kufanya matengenezo,hivyo bonanza ya tbl imehamia pale viwanja vya biafra na twanga wanafanya makamuzi yao pale...weekend iliyopita ndio shughuli ilianza pale biafra
 
Kuhusu kwa nini msanii Been Man kutoka Jamaica atafanya onyesho lake kwenye uwanja wa chuo cha TTCL, labda ungetwambia wewe ulitegemea onyesho hilo lifanyike wapi na kwa nini unafikiri lilipashwa kufanyika hapo ulipopafikiria badala ya uwanja chuo cha TTCL.

Tiba

Leaders!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom