FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 7,627
- 9,320
Wazungu wanazingua sana ivi haya maneno wameyatoa tu hawajui kuwa tuna Rias mchapakazi akiyaona watakuja kweli hawa bongo nawahurumia mnoSafi sn...hapo hutakiwi kuchukia wala kupanic. Nawewe waite PIGS basi inatosha alafu uwakumbushe kuwa sisi ni dona kantri usijaribu kuwa na inferiority complex
sifahamu labda sababu Chinese virus yao imeshindwa kutuua RapidlyKuna Nini kimetokea kwani?
sizani hidhi ni dharau mambo sasa yuko wapi kukemea?Yana Mwisho.
hii hatariCCM MPO WAPI KUKEMEA HAWA MABEBERUView attachment 1415314View attachment 1415315
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wivu tuuCCM MPO WAPI KUKEMEA HAWA MABEBERUView attachment 1415314View attachment 1415315
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja awashikishe adabu.......Naona wanamfananisha na marais uchwara wa africaWazungu wanazingua sana ivi haya maneno wameyatoa tu hawajui kuwa tuna Rias mchapakazi akiyaona watakuja kweli hawa bongo nawahurumia mno
Sent using Jamii Forums mobile app
hawaogopi kabisa kasi ya awamu ya tano,Ngoja awashikishe adabu.......Naona wanamfananisha na marais uchwara wa africa
Ngoja nione mchina na utapeli wao wa bonanzaUSI-PANIC BRO. Dawa ya moto ni moto tu.Wakijifanya wajanja ni kuwafanyizia tu.Wakiwafanya kitu mbaya walioko China nasi tunaanza na walio huku.Wanigeria walifanya vizuri sana kwa wa-South.Jino kwa jino!
Hahahaaa.....NAWAHURUMIA SANA AISEE
Police wako wapi kukemea wanatukanwaHahahaaa.....NAWAHURUMIA SANA AISEE
Na polisi wetu ni sehemu ya Interpol!!!