Kulikoni kwa lipi waafrika tunatukanwa hivi na wachina?

FK21

JF-Expert Member
May 27, 2019
1,632
2,000
Safi sn...hapo hutakiwi kuchukia wala kupanic. Nawewe waite PIGS basi inatosha alafu uwakumbushe kuwa sisi ni dona kantri usijaribu kuwa na inferiority complex
Wazungu wanazingua sana ivi haya maneno wameyatoa tu hawajui kuwa tuna Rias mchapakazi akiyaona watakuja kweli hawa bongo nawahurumia mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom