kulikoni CCM, watafika 2015 kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kulikoni CCM, watafika 2015 kweli?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chifunanga, Jan 10, 2011.

 1. Chifunanga

  Chifunanga JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  WAZIRI Mkuu wa zamani, John Malecela, amesema kuwa CCM imewakosea adabu maaskofu hivyo inapaswa kukutana nao na kuwaomba radhi.Akizungumza na Mwananchi jana, Malecela alisema kitendo cha kuwashambulia maaskofu hao kilichofanywa na CCM mkoani Arusha ikiwa ni pamoja na kuwataka wavue majoho na kuingia kwenye siasa, ni utovu wa nidhamu.


  KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida Waziri katika Baraza la Mawaziri ameamua kumkosoa mwenzake hadharani kutokana na uamuzi alioutangaza hivi karibuni kwa Taifa.

  Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta ndiye amepata ujasiri huo kwa kumkosoa Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, kutokana na kutangaza kuilipa Kampuni ya kufua umeme ya Dowans Sh bilioni 94, hatua ambayo anaona hakustahili
  kuitangaza yeye.


  Kazi ipo mwaka huu. Naona februari inachelewa....bunge lianzeeeeeee
   
 2. m

  mzambia JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hawawezi kufika kwani kikwete mwenyewe anakufa mwakani pamoja na chama chake ka diwani wa ccm arusha kahamia chadema na kuuacha udiwani kuna chama hapo?
   
 3. makandokando

  makandokando JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mzambia, hawajambo kigamboni?
   
 4. T

  The Future. Member

  #4
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kazi ipo wakubwa, tuzidi kuomba ujasiri kutoka kwa mungu ili tuikomboe nchi yetu.
   
 5. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Du! 'Kama Mnajimu mkuu Africa Mashariki na kati!'
   
 6. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ufalme ukifitinika unaanguka..... Safari yao imeshawadia....
   
Loading...