Kulikoni ccm b(cuf)

nyengo

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
454
185
jamani mbona nashindwa kuelewa kuhusu cuf. Katika baraza la mawaziri wa tanzania bara hakuna hata kiongozi wa cuf aliechaguliwa pamoja na kuwa walikuwa bega kwa bega na ccm halisi. Hivi mkwere kashindwa walau kuwapa hata ka asante kidogo. Sasa pale mjengoni watakuwa kama neutral au upande upi. Jamani naomba nisaidiwe na hilo
 
Back
Top Bottom