mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
Ni takribani miezi mitatu sasa fomu yangu ya mkopo haijalipwa.Mmeyumba wapi? tulikuwa tukiwaamini kwa ufanisi wenu kwa sasa mmekuwa kama mifuko ya SACCOSS mtaani.
Toleni maelezo mbona wenzenu NMB wapo vizuri, ule utendaji wenu wa awali umekumbwa na nini mbona mikopo mnatoa kwa kubahatisha.
Kiukweli wananchi wamepoteza matumaini na nyinyi na ukimya wenu unatisha.