mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 39,203
- 44,651
Ahsante mwalimu Kwa kunielimisha
ha ha haaaaa,kiukweli ukweli upo hasa vinavyotumia mfumo wa TCU,ambavyo mwalimu anakuwa na nguvu kubwa ya kumbana mwanafunzi kwa kuwa test,assignment mpaka UE,anatunga na kusahisha peke yake so inakuwa simple kwake kufanya hayo,kwa wanaotumia mfumo wa NACTE sheria zake ni tofauti,maana mwalimu anaanda course work work tu,ila UE wanapewa mtaala walimu wasiopungua watatu kutunga mtihani,then wanakaa ku moderate swali gani liwepo ktk mtihani na lipi lisiwepo,kw hiyo mwalimu wa somo anaweza kukuta swali lake hata 1 halipo ktk mtihani,then mna mark kwa panel,na mwalimu wa somo unaweza usiitwe kusahisha wakapewa wengine marking scheme wa mark,hata ukiingia ku mark unaweza kuambiwa usahishe mawili tu ukimaliza una mpa mwingine na mwingine hadi yaishe na matokeo huandai ww utaitwa kupitisha matokeo tu,so hapo denti akikupa kapenda mwenyewe tuuuu,ipo hivyo mkuu