Kuliko kumdisco mwanafunzi wa mwaka wa tatu ni bora kumbeba kwa digrii ya Pass!

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
May 15, 2017
3,373
6,756
Gharama ya kumwangamiza mtu ni kubwa kuliko gharama ya kumuokoa.
Inapotokea labda mwanafunzi 1st yr ana GPA ya 2.5 na second yr ana GPA ya 2.2 lakini 3rd yr akadondokea mathalani kwenye GPA ya 1.6 basi ni bora mtu kama huyu akabebwa kwa kukopa points za mwaka wa kwanza na wa pili ili kumuwezesha amalize na digrii ya Pass ya 2.0.
 
UJINGA KABISA, wewe pambana na ubongo wako, yaani ufeli ubebwe kwa mbeleko hiyo HAPANA KILAZA wewe. Labda sema apewe diploma ya kozi alokuwa akisomea. Ukifeli no DIGRIII MKUUU

Mkuu siku hizi wanaludia semister ile waliyoifeli mambo yamerahisihswa kidogo tofauti na miaka yetu unaenda kuanza upya
 
mkuu wewe ni lecture unaandika kama kijana aliyemaliza 4 juzi, ndio maana mnatoa product mbovu
sasa waachiwe waingie mtaani wakati wamefeli???3rd year na 4th year kwa kawaida ndo wanasoma vitu vya ku apply huko mtaani,applied..............,applied..............,practical...........,etchics etc ,1st na 2nd year ni vi intro tu na masomo ya story,Development studies sijui communication skills etc,hawezi kufeli mwaka wa 3 ukasema ukakope points za kujifunza kuandika barua ya kikazi ktk communication skills ya 1st year useme aingie mtaani,mfano kwa kijana anaesoma lets say land management and valuation,ni bora asome semester 1 tu ya kwanza ya mwaka wa 4 akafaulu akiingia mtaani anaweza kufaya valuation vizuuuuri kuliko chai za mwaka wa kwanza hadi wa 3,wafeli tu hakuna namna,ni september comference kwa kwenda mbele:p:p:p
 
UJINGA KABISA, wewe pambana na ubongo wako, yaani ufeli ubebwe kwa mbeleko hiyo HAPANA KILAZA wewe. Labda sema apewe diploma ya kozi alokuwa akisomea. Ukifeli no DIGRIII MKUUU
Wewe unasema kwa kuwa husomeshi ila siku yakikukuta ndio utajua maumivu yake unajua maisha hayana formular huyohuyo unayeshidwa kumbeba ndio atakuja kukusaidia sehemu ambayo hutegemei kupata msaada
 
Unavuna ulichopanda! Waache wadisco tu kama ndo stahiki yao
Kwa mfano angekuwa mwanao unamlipia 6.7million kwa mwaka halafu akadisco yuko mwaka wa tano ungekuwa na nguvu ya kucomment hapa, muda mwingine inabidi ufikirie upande wa pili wa shillingi
 
Wanafunzi wanalalamika mnawafelisha kisa rushwa ya ngono mwalimu kuna ukweli wowote hapo?
sasa waachiwe waingie mtaani wakati wamefeli???3rd year na 4th year kwa kawaida ndo wanasoma vitu vya ku apply huko mtaani,applied..............,applied..............,practical...........,etchics etc ,1st na 2nd year ni vi intro tu na masomo ya story,Development studies sijui communication skills etc,hawezi kufeli mwaka wa 3 ukasema ukakope points za kujifunza kuandika barua ya kikazi ktk communication skills ya 1st year useme aingie mtaani,mfano kwa kijana anaesoma lets say land management and valuation,ni bora asome semester 1 tu ya kwanza ya mwaka wa 4 akafaulu akiingia mtaani anaweza kufaya valuation vizuuuuri kuliko chai za mwaka wa kwanza hadi wa 3,wafeli tu hakuna namna,ni september comference kwa kwenda mbele:p:p:p
 
Wanafunzi wanalalamika mnawafelisha kisa rushwa ya ngono mwalimu kuna ukweli wowote hapo?
ha ha haaaaa,kiukweli ukweli upo hasa vinavyotumia mfumo wa TCU,ambavyo mwalimu anakuwa na nguvu kubwa ya kumbana mwanafunzi kwa kuwa test,assignment mpaka UE,anatunga na kusahisha peke yake so inakuwa simple kwake kufanya hayo,kwa wanaotumia mfumo wa NACTE sheria zake ni tofauti,maana mwalimu anaanda course work work tu,ila UE wanapewa mtaala walimu wasiopungua watatu kutunga mtihani,then wanakaa ku moderate swali gani liwepo ktk mtihani na lipi lisiwepo,kw hiyo mwalimu wa somo anaweza kukuta swali lake hata 1 halipo ktk mtihani,then mna mark kwa panel,na mwalimu wa somo unaweza usiitwe kusahisha wakapewa wengine marking scheme wa mark,hata ukiingia ku mark unaweza kuambiwa usahishe mawili tu ukimaliza una mpa mwingine na mwingine hadi yaishe na matokeo huandai ww utaitwa kupitisha matokeo tu,so hapo denti akikupa kapenda mwenyewe tuuuu,ipo hivyo mkuu
 
Gharama ya kumwangamiza mtu ni kubwa kuliko gharama ya kumuokoa.
Inapotokea labda mwanafunzi 1st yr ana GPA ya 2.5 na second yr ana GPA ya 2.2 lakini 3rd yr akadondokea mathalani kwenye GPA ya 1.6 basi ni bora mtu kama huyu akabebwa kwa kukopa points za mwaka wa kwanza na wa pili ili kumuwezesha amalize na digrii ya Pass ya 2.0.
'Halafu mnalalamika kuwa kiwango cha elimu kimeshuka'
 
Gharama ya kumwangamiza mtu ni kubwa kuliko gharama ya kumuokoa.
Inapotokea labda mwanafunzi 1st yr ana GPA ya 2.5 na second yr ana GPA ya 2.2 lakini 3rd yr akadondokea mathalani kwenye GPA ya 1.6 basi ni bora mtu kama huyu akabebwa kwa kukopa points za mwaka wa kwanza na wa pili ili kumuwezesha amalize na digrii ya Pass ya 2.0.

Halafu aje kufanya operation na kuacha mikasi matumboni mwa wagonjwa?

Hivi mzima wewe?

Gharama ya wewe kusoma ni ndogo sana ukifananisha na ajali ya madaraja na majengo na vifo vya huko mahospitalini!

Kama wanadamu lazima tukubaliane mstari wa cut off kwamba mtu asipovuka hapa hafai kupewa hii degree!

Athari yake ni kubwa mno!

Huwezi kusoma degree acha,kalime!

Kwa threads kama hizi sijui kama nchi tunaenda wapi hasa??
 
Back
Top Bottom