Kulihusisha tukio la mauaji Kinondoni na vyama vya siasa ni kukosa busara za kisiasa

Huku sio kuchafuana au kupakana matope bali ni kukosa busara za kisiasa. Maana huwezi kusema kuwa ni Chadema yetu au Ccm yao itachafuka kwa upuuzi wa kutunga mitandaoni.

Hili ni tukio baya la kuterrorise maisha ya watu kama lingekuwa motivated na chama cha siasa asingekwenda mtuhumiwa mmoja pekee. Tungeona makundi ya wafuasi wa vyama vya siasa.

Tuache majungu ya kisiasa yasiyokuwa na tija kwa taifa letu.
Tuwe wakweli tu kwa siasa zetu hizi, hivi ingekuwaje kama huyo jamaa angekuwa ni mwana chama wa CHADEMA?, yaani hayo mpicha picha yake, yangekuwa yanamuonyesha kuwa amevaa sare za CDM?!!hapo tayari ungewasikia viongozi wote wamesha pata justification, ya hayo madai yao juu ya chama hicho, sasa angalia jinsi Mungu alivyofundi?!!!hayo yote ni matokeo ya siasa za maji taka za nchi hii!!!
 
Huku sio kuchafuana au kupakana matope bali ni kukosa busara za kisiasa. Maana huwezi kusema kuwa ni Chadema yetu au Ccm yao itachafuka kwa upuuzi wa kutunga mitandaoni.

Hili ni tukio baya la kuterrorise maisha ya watu kama lingekuwa motivated na chama cha siasa asingekwenda mtuhumiwa mmoja pekee. Tungeona makundi ya wafuasi wa vyama vya siasa.

Tuache majungu ya kisiasa yasiyokuwa na tija kwa taifa letu.
Wewe ndio uliyehusisha maana hakuna aliyefanya hivyo zaidi yako
 
daaaa tukio la jana hakika halikuwa zuri kwa sura ya kimataifa kwani limetokea kwenye geti la ubalozi wa Ufaransa..ni kama kuna jambo fulani haliko sawa, wajuzi wa intilijensia walifuatilie haraka nchi ipate majibu, chanzo chake,sababu zake, na hitimisho.

Kutambua kuwa limepelekwa jirani na ulipokuwepo ubalozi wa USA ulioshambuliwa na magaidi kipindi kile na mwezi 8 nayo ni ngumu hii?!
 
Huku sio kuchafuana au kupakana matope bali ni kukosa busara za kisiasa. Maana huwezi kusema kuwa ni Chadema yetu au Ccm yao itachafuka kwa upuuzi wa kutunga mitandaoni.

Hili ni tukio baya la kuterrorise maisha ya watu kama lingekuwa motivated na chama cha siasa asingekwenda mtuhumiwa mmoja pekee. Tungeona makundi ya wafuasi wa vyama vya siasa.

Tuache majungu ya kisiasa yasiyokuwa na tija kwa taifa letu.

IMG_0758.jpg

Mkuu uyu jamaa ni ccm iko wazi
 
Baelezee kamanda
Kwa kuwa imewagusa ccm ndio maana mnasema lisihusishwe na vyama vya siasa. Mmesahau kuwa nyie ndio mlianza kwa polisi wenu kuja na picha za bunduki zilizofungwa na bendera ya chadema, visu vyenye rangi ya CUF?
 
Huku sio kuchafuana au kupakana matope bali ni kukosa busara za kisiasa. Maana huwezi kusema kuwa ni Chadema yetu au Ccm yao itachafuka kwa upuuzi wa kutunga mitandaoni.

Hili ni tukio baya la kuterrorise maisha ya watu kama lingekuwa motivated na chama cha siasa asingekwenda mtuhumiwa mmoja pekee. Tungeona makundi ya wafuasi wa vyama vya siasa.

Tuache majungu ya kisiasa yasiyokuwa na tija kwa taifa letu.
Kwani kuna chama kinachohusishwa na hilo tukio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walianza kwa kumpa kadi ya CHADEMA, baada ya kuona kuna ushahidi mwingi kuwa alikuwa mbogamboga, wanabadili gear angani.

Anyways Msajili wa vyama aangilie vizuri hili jambo, maana inasemekana kijana alikuwa mwanachama kindakindaki wa chama kimoja cha siasa.
 
Huku sio kuchafuana au kupakana matope bali ni kukosa busara za kisiasa. Maana huwezi kusema kuwa ni Chadema yetu au Ccm yao itachafuka kwa upuuzi wa kutunga mitandaoni.

Hili ni tukio baya la kuterrorise maisha ya watu kama lingekuwa motivated na chama cha siasa asingekwenda mtuhumiwa mmoja pekee. Tungeona makundi ya wafuasi wa vyama vya siasa.

Tuache majungu ya kisiasa yasiyokuwa na tija kwa taifa letu.

Baada ya kuona huyo muhuni ni ccm ndio mnajifanya lisihusishwe ns siasa? Mnaleta siasa chafu za kuchafua watu ili kupaka vyama vyao matope, lakini ikitokea tukio la kweli la mwanachama wenu, mnataka lisihusishwe ns siasa!
 
pengine ni mwendelezo au mfano wa majeshi ya USA kutoka Afghanistan!!!

Israel ndio wanao jua kushughulika na hawa jamaa. Ikitokea mali za familia ya gaidi zinakwenda maji. Majumba hulipuliwa kwa sababu anajua gaidi hufadhiliwa kwa fedha nzuri ili anapoenda akhera kula bata hivyo hivyo iwe kwa ndugu zake aliowacha duniani.
 
Huku sio kuchafuana au kupakana matope bali ni kukosa busara za kisiasa. Maana huwezi kusema kuwa ni Chadema yetu au Ccm yao itachafuka kwa upuuzi wa kutunga mitandaoni.

Hili ni tukio baya la kuterrorise maisha ya watu kama lingekuwa motivated na chama cha siasa asingekwenda mtuhumiwa mmoja pekee. Tungeona makundi ya wafuasi wa vyama vya siasa.

Tuache majungu ya kisiasa yasiyokuwa na tija kwa taifa letu.
Huenda alikuwa anafunga njia wanayopita viongozi.
 
Baada ya kuona huyo muhuni ni ccm ndio mnajifanya lisihusishwe ns siasa? Mnaleta siasa chafu za kuchafua watu ili kupaka vyama vyao matope, lakini ikitokea tukio la kweli la mwanachama wenu, mnataka lisihusishwe ns siasa!
Hujitambui kijana huyu muuaji ni mwana Ccm? Kuwa wapinzani sio sababu ya kuweke chuki kwa Ccm.
 
Huku sio kuchafuana au kupakana matope bali ni kukosa busara za kisiasa. Maana huwezi kusema kuwa ni Chadema yetu au Ccm yao itachafuka kwa upuuzi wa kutunga mitandaoni.

Hili ni tukio baya la kuterrorise maisha ya watu kama lingekuwa motivated na chama cha siasa asingekwenda mtuhumiwa mmoja pekee. Tungeona makundi ya wafuasi wa vyama vya siasa.

Tuache majungu ya kisiasa yasiyokuwa na tija kwa taifa letu.
Bwana Hamza Msomali ni mwana CCM mwenzako, usijifarague
 
Huku sio kuchafuana au kupakana matope bali ni kukosa busara za kisiasa. Maana huwezi kusema kuwa ni Chadema yetu au Ccm yao itachafuka kwa upuuzi wa kutunga mitandaoni.

Hili ni tukio baya la kuterrorise maisha ya watu kama lingekuwa motivated na chama cha siasa asingekwenda mtuhumiwa mmoja pekee. Tungeona makundi ya wafuasi wa vyama vya siasa.

Tuache majungu ya kisiasa yasiyokuwa na tija kwa taifa letu.
Magaidi wa kweli wanatoka ccm na sio CDM.
 
Back
Top Bottom