Kulevya kwa kumuwekea mtu mkojo ndani ya bia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulevya kwa kumuwekea mtu mkojo ndani ya bia

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bujibuji, Aug 18, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,145
  Trophy Points: 280
  Nasikia kuna baadhi ya minjemba ikimpa ofa mwanamke, inamwekea kiujanja mkojo ndani ya kinywaji anywacho (mostly kwenye vileo). Baada ya hapo binti anakuwa taabani na jamaa anatumia fursa hiyo kumtenda binti chochote atakacho, maana anakuwa kalewa hajitambui.

  Pia nasikia kuna club moja maarufu jijini Dsm pande za O bay, wahudumu wake wakikushtukia kuwa una noti nene wanakuwekea mkojo kwenye bia kisha wanakuibia vyote ulivyonavyo.

  Je wewe ni kipi ulichokisikia utujulishe?
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,145
  Trophy Points: 280
  maisha club ndio zao hizo
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  hii ni teknolojia ya zamani sana ya machangudoa......ya kumuibia mteja.....kuna mpya.....stay tuned......
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,145
  Trophy Points: 280

  Preta hebu tumwagie tuijue, usitubanie
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  will be back shortly......halafu mbona kama umeogopa sana....?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  We unakua wapi mpaka aweke mkojo kwenye bia? Ukinywa bia akikisha haubanduki kwenda chooni kama haujamaliza kinywaji.........
  ┬ĽUkiagiza bia mwambie akupe glass nyingine kama ulitoka kwenda chooni halafu chukua bia ile safisha glass kwanza then ndio uanze kigida!
   
 7. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  hiyo ishu ya mkojo ni uzushi wa enzi zile za mazungumzo baada ya habari RTD...
  Kitu ambacho nimeshakifanyia majaribio na kunipa ushindi ugenini basi ni kitendo cha kuweka ugolo kwenye Bia ya manzi niliekuwa namtamani kitambo ila ye akawa anaringa...

  Alilegeaje?
  Nikajitwika begani kisha nikaenda mfturu....
   
 8. W

  Wajad JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,128
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 180
  Naomba mwongozo toka kwa mkemia mkuu kwamba bia+mkojo=?
   
 9. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  majivu ya fegi pia .........
   
 10. f

  felixmbwanji Member

  #10
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo sasa
   
 11. v

  vunjajungu JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kaka u made my day!chukua like hio!
   
 12. TabletFellow

  TabletFellow JF-Expert Member

  #12
  Aug 18, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  majivu ya fegi ni balaa
   
 13. f

  felixmbwanji Member

  #13
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  okokeni vijana
   
 14. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #14
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,534
  Likes Received: 10,451
  Trophy Points: 280
  sindio maana wanauliza mbinu za kujiokoa na vibaka.!
   
 15. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #15
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,061
  Likes Received: 1,195
  Trophy Points: 280
  ...eeh kazi zako za NJE hizo nn..?
  ..mpya ndio ipi ile ya kuweka dawa za kulevya kwenye Nyonyo..?
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,145
  Trophy Points: 280
  JF ina mambo sana, wacha niende kusikiliza mahubiri ya mwinjilisti Elma Frank Silkiluwasha
   
 17. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #17
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Vp wakuu hamkufanya research ya hii mambo wakati wa shamrashamra za Sikukuu!!
   
 18. mandella

  mandella JF-Expert Member

  #18
  Aug 21, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,635
  Trophy Points: 280
  Kipande kidogo cha Tissue !!
   
 19. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #19
  Aug 21, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  aiseeeeeee! :spy::spy:
   
 20. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #20
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kuna moja hiyo ambayo demu akiwekewa inamfanya anakua horny (na hamu) akishainywa yeye ndo anakua anakulazimisha wanasema wanatumiaga hiyo kwa wale mademu wanaojidai wagumu so kuweni makini mkitaka mkienda toilet wakati uko mahali na mtu hakikisha umemaliza kinywaji chako au ukichukue toilet :happy:
   
Loading...