Kulenga jinsia ya mtoto/ mimba.

Well at times inawezekana though inakuwa kama vile ni probability ila ukiidumbukiza kule jf doctor uunaweza kupata majibu sahihi zaidi
 
mambo ya calender yana work out sometimse,especila mwanamke siku zake zikiwa zinaenda kwa kawaida kwa mfano baada ya siku 28,wengine baada ya thelathin unaweza kuivizia kama wewe huna tatizo lolote,una count 14 ni danger dys unacheza hapo kati ya 14,15 atlist hata kama yai limechelewa.sasa kama na wewe unataka kutengeneza mtoto mapombe ya nini inabidi for those dys unatengeneza mazingira mazuri ikiwezekana those dys hamlali nyumbani mnabadilisha mazingira.
 
Your Days.com - Home - Free Pregnancy and Ovulation Information For Women soma hapa na ujiandikishe kuwa na account nilijaribu kucheza na kalenda kama walivyoonyesha na maelezo yao. vile vile kupima damu ya mamaa na kujua siku ngapi tangu kupevuka yai hadi kuona siku zake. mzunguko wake ni siku ngapi kwa mwezi tukajaza infomation zote zilizotakiwa kwenye hiyo kalenda nikapanga na mamaa tupate dume na tulipata dume tukapanga tupate wa kike na tukapata wa kike vile vile tunaitumia kupanga uzazi. thx kwa hii website kwani najisikia kuwa ninamuelewa mamaa na mzunguko wake kwa ujumla
 
Hii nzuri sana! thanx man!! i will take it on board!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom