X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,344
- 14,117
nielewesheni kijana mwenzenu labda mimi bado mdogo akili zangu hazijatanuka kiasi cha kufumbua mafumbo magumu ya maisha...ivi mfano mimi ni mvulana nina mpenzi wangu maybe wote tumesoma ngazi mbali mbali za elimu pengine hadi vyuo kikuu kwa bahati mbaya mpenzi wangu ameanza yeye kupata ajira japo hapo mwanzo tulisota pamoja kwenye dhiki je nikimfuata kwa kuwa yeye ana kazi atakuwa ananilea? au kulelewa kupoje naomba mnisaidie katika hilo