Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,441
- 4,093
Hakawezi kufaulu, maendeleo yake mabaya darasani si unajua shule za kata,ila elimu kibongo bongo uzushi tu hamna mchongo wowote kupoteza muda tu,saizi nakapiga benchi Kwanza kawe kananihidumia home hapa,kakifika 25 nitakaweka kwenye duka langu la speaHahahaaaaa dah duh. Acha some na afike chuo huko watombe arudi kwako haipo. Nasisitiza acha some kwa manufaa yake ya baadae.