Kulazimisha kuoa bikra ni ulimbukeni

Hahahaaaaa dah duh. Acha some na afike chuo huko watombe arudi kwako haipo. Nasisitiza acha some kwa manufaa yake ya baadae.
Hakawezi kufaulu, maendeleo yake mabaya darasani si unajua shule za kata,ila elimu kibongo bongo uzushi tu hamna mchongo wowote kupoteza muda tu,saizi nakapiga benchi Kwanza kawe kananihidumia home hapa,kakifika 25 nitakaweka kwenye duka langu la spea
 
Ukisubiri sana utakuta mwana si wako pia.
 
Kusema ukwel wanaume kamili tuliokamilika tunawaza kuoa Mwanamke bikra tu huko ndo kujiamin na n ushujaa
 
Wewe unabikira?
Kama mada inavyosema.

Kuna vijana wenzangu wanaamini kuwa ukioa mwanamke aliyebikra ni salama zaidi na mahisiano au ndoa yake itadumu na atakuwa hana presha na mkewe.

Mtu yuko tayari kuchukua demu kijijini na ni msomi wa chuo waje waanze kupanga maisha.
Nakuhakikishia mtaishia kupoteza muda tuu.
Dunia imebadilika sana sio kisa baba yako alimuoa mama yako hakiwa hana elimu na wewe unachukulia rahisi tuu.

Ukitaka kuamini dunia ya sasa sio ya zamani muulize huyo baba yako kama akiambiwa atafute mke sasa ivi ataenda kule alikomchukua mama yako.

Nikirudi kwenye mada..jiulize bikra ni nin kwan na nin hasa maana yake.Hujawahi kuona mwanamke anaachika na ndani ya mwezi anaolewa tena.Inabidi tufahamu maana ya ndoa kwanza ndo tuje huko kwenye maswala ya ubikra tatizo liko hapo wengi hatujajua vizuri maana ya ndoa.

Tusisahau pia zamani ndo ilikuwa jambo la ufahari kuoa bikra ila ukisema unamtafuta demu bikra aliyemaliza hata diploma tuu ni mmoja au wawili wenye degree,kwa mamlaka niliyopewa na JF kuandika uzi huu nasema HAKUNA.

La mwisho;Tupige kazi tuu tujenge taifa letu aya maswala ya kufuatilia wanawake kujua kama alishalala na wanaume wangapi mtakuja kufa siku sio zenu.

Kuna kitu sijasema???
 
Umemaliza kila kitu.Mambo ya bikra ni dhana tu ambayo kwenye hali halisi haina uhalisia wowote na changamoto za ndoa na mabadiliko ya tabia ya mtu.Ndoa inajengwa na mambo mengi zaidi ya sehemu ya siri ya mwanamke.Waliposema uzuri wa mwanamke sio sura ni tabia walimaanisha jambo kubwa sana nje ya maumbile ya mwili wake.
 
She is 18, nimetoa mahali 1.2 million na mzee wake elfu kumi kumi akihitaji huwa namtoa,Ni kadogo,kazuri,kana mavi, kananiheshimu,kananifulia,kapole hakana mambo mengi hakika kananifaa Sana,ngoja kakifika 21 ntakapa mimba
kana mavi+mkia
 
Hakawezi kufaulu, maendeleo yake mabaya darasani si unajua shule za kata,ila elimu kibongo bongo uzushi tu hamna mchongo wowote kupoteza muda tu,saizi nakapiga benchi Kwanza kawe kananihidumia home hapa,kakifika 25 nitakaweka kwenye duka langu la spea
ila mkuu akili zako kama zangu,,,ebu piga pepsi ya baridi hapo kwa Mangi ntalipa nkiokota hela
 
She is 18, nimetoa mahali 1.2 million na mzee wake elfu kumi kumi akihitaji huwa namtoa,Ni kadogo,kazuri,kana mavi, kananiheshimu,kananifulia,kapole hakana mambo mengi hakika kananifaa Sana,ngoja kakifika 21 ntakapa mimba

Mkuu jipe muda, huyo bado mtoto sana. wewe subiri aongezeke umri kidogo ndio ulete masifa kede kede..Be Careful huyo ndio damu inachemka..

Thank me later
 
Umemaliza kila kitu.Mambo ya bikra ni dhana tu ambayo kwenye hali halisi haina uhalisia wowote na changamoto za ndoa na mabadiliko ya tabia ya mtu.Ndoa inajengwa na mambo mengi zaidi ya sehemu ya siri ya mwanamke.Waliposema uzuri wa mwanamke sio sura ni tabia walimaanisha jambo kubwa sana nje ya maumbile ya mwili wake.
We kama ulishatolewa bikra yako subiri mikurubembe wenzako waje kukuoa acha sie tuendelee na slogan yetu bila bikra hatuoi
 
Back
Top Bottom