Kulalamika kwa pinda ni namna nyingine ya kuwazuga wananchi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulalamika kwa pinda ni namna nyingine ya kuwazuga wananchi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Paul Kijoka, Mar 7, 2011.

 1. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Tangu alipoteuliwa kuwa WM kila mtu alimwona ni mtendaji. Tulimshangilia na wengine wakampa majina lukuki tena mazuri tu, mara Mtoto wa Mkulima, mcha mungu, Msafi nk.

  Nimekuwa nikimfatilia kutokana na sifa hizo na kugundua kuwa hana lolote katika utendaji ila anatenda kama kibaraka wa mafisadi.


  • Juzi juzi alisema mambo yasiyo kuwa na uthibitisho bungeni kwa lengo la kuisafisha serikali
  • akiwa Msoma katika uteuzi wa askofu wa RC alisikika akilalamika kwa namna ya pekee kuwa viongozi wa dini wasaidie kuondoa ufisadi kwa maana kwamba mafisadi wanasali na kuswali kwao, hakueleza sheria zinasaidiaje na yeye pia
  • amewahi kulilia mauaji ya albino huku hadi leo wahusika wakuu inadaiwa hawajakamatwa
  • KALI: jana akiwa Kagera amesikika akilalamika kwanini sukari ni 2000/ huku akitoa bei ya BUKOBA mjini na kusahau kuwa vijijini wnanunua hadi 3000/. Alafu anaongelea mambo marahisi sana. Aongelei mambo ya msingi!
  • aliwahi kukataa shangingi peke yake na kuacha maofisa waliochini yake wanasaga pesa ya serikali
  Je, anafaa kuwa WM kweli?
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  huyu Pinda ni mzigo kwa wanaichi.

  kuna sredi ya bora lowassa kuliko Pinda iliwekwa hapa na wachangiaji walionesha kuwa PINDA NI ZIGO KAMA LOWASSA
   
 3. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hana jipya ni ngozi ya kondooo!!! ni mtoto wa mkulima mwoga mafisadi na asiye na uwezo wa kuthubutu kutumia madaraka yake ya kikatiba kuzuia uovu wanaofanyiwa watanzania. Shida ana inferiority complex-anaona cheo chake kama tunu-zawaidi aliyopewa na mtu/au kikundi cha watu; ambacho lazima akiheshimu. Hilo ndo tatizo la PM wetu-hata kama yeye binafsi hana fedha za kifisadi!!
   
 4. I

  Idofi JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 1,541
  Likes Received: 820
  Trophy Points: 280
  hana uwezo kabisa wa kukabili changamoto zilizopo hapa nchini
   
 5. k

  kibunda JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  UNAFIKI MWINGINE NI PALE ALIPOSITISHA BOMOA BOMOA YA MAGUFULI KWENYE MKUTANO WA HADHARA. ALITAKA ILI AONEKANE NA WATU KUWA AMEMFOKEA WAZIRI WAKE. ALISHINDWA HATA KUPIGIA SIMU? AU ALISHINDWA KUMWITA OFISINI.

  ANGALIA TENA HAPA:

  Pinda asitisha bomoabomoa
   
 6. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Pinda ni kipimo halisi cha serikali iliyoko madarakani.. incompetent basi!
   
 7. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mie nilishasema wazi na hata ulifuatilia threads zangu za hapa Jamvini kumhusu huyu Pinda utagundua nalosema, ni kuwa tangu miaka yote 50 tangu tupate uhuru, Tanzani haijawahi kuwa na waziri mkuu dhaifu, hovyo na mnafiki kama Pinda.
  Akiwa na wanasiasa anajigeuza ili asionekane mbaya, akiwa na viongozi wa dini anajigeuza wasimuone mbaya, na akiwa na mafisadi lao ni moja wasimuondolee fungu lake....Hii ni aibu kwa Taifa kuwa na viongozi wote wa juu dhaifu, wanafiki na wasanii....Nchi imekosa kiongozi. Tanzania hatuna uongozi wa Taifa (Rais na Waziri Mkuu). Tnaishi tu kujitafutia maisha kama kuku wa kienyeji. Afadhali angekuwa hata Lowassa mbali na ulafi na wizi wake....angeweza kutoa dira na msimamo kiasi fulani!
   
 8. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  keshapoteze mvuto:A S 13:
   
 9. Bless the 12

  Bless the 12 Member

  #9
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Katika mawaziri wakuu tuliopata kwa kuchemka, basi Pinda tulichemka pia. Naunga mkono Pinda amekuwa tu MNAFIKI WA KISIASA, sioni analolifanya zaidi ya kutumwa na vibaraka kutuliza pressure zinazopelekwa serikalini kwa kujibu mambo madhaifu yasiyo na msingi wowote!
   
 10. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Huyo ndiye mtoto wa mkulima. Kwa ufupi,watanzania hatuna waziri mkuu. Tusubiri mpaka 2015.
   
 11. Halfcaste

  Halfcaste JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 973
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  garasa
   
 12. Halfcaste

  Halfcaste JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 973
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  amepania kuua shule za kata alizoacha fisadi lowasa ifikapo 2015
   
 13. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #13
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Labda atalia tena bunge lijalo. ile ripoti ya Arusha Mhh.:A S 13:
   
 14. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #14
  Mar 7, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  PINDA amepinda, ni sawa na bomu la Mbagala au Gongo la Mboto.

  Yaani Pinda anakera na anaudhi. Yaelekea viatu vya WM vinampwaya.
  Mimi aliniacha hoi wakati ule ALIPOLIA KWENYE JUKWAA KUHUSU MAUAJI YA MA-ALBINO!!! Mwanamme mzima mwenye madaraka ya PM,unalia mbele ya Wanawake na watoto,ni kuonyesha UDHAIFU MKUBWA sana kwenye kuongoza. Wewe hufai hata kuwa Baba wa familia. Si kawaida ya wanaume kutoatoa mchozi kwa matukio hata kama ni mazito kiasi gani.

  Na hili la KUMPIGA STOP MAGUFULI nalo linazidi kumpunguzia heshima kama PM. Magufuli anafuata sheria/taratibu za UJENZI WA BARABARA. Kwamba mipaka ya road reserve inajulikana na lazima iwe wazi. Sasa anapomzuia Magufuli kubomoa si kama SERIKALI YENYEWE INAPINGANA???

  Ama kweli CCM kumejaa majuha watupu!!!
   
 15. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #15
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  mwaje pinda apinde na alie maana katwishwa zigo lililo mzidi nasikia mawaziri wengi wala hawafuati maagizo yake kwa ujeuri na yeye ananyamaza tu
   
Loading...