Kulala usingizi mrefu masaa 8 kwa usiku na kucheka ni dawa kwa kila kitu
TUKUTUKU JF-Expert Member Sep 14, 2010 11,783 2,000 Dec 23, 2013 #2 ni kweli kabisa mkuu!kazi kwao wanaopenda kukesha kwenye mitanao ya jamii na kununa!
bysange JF-Expert Member Jan 11, 2011 4,429 2,000 Dec 23, 2013 #3 Hii kweli maana mara nyingi twashauriwa kuepuka msongo wa mawazo
farkhina Platinum Member Mar 14, 2012 14,759 2,000 Dec 23, 2013 #5 Really?... Basi kama ni hivo mimi very healthy....