Kulala uchi na mchumba wako bila sex wala romance kuna ubaya?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulala uchi na mchumba wako bila sex wala romance kuna ubaya??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, May 6, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,546
  Likes Received: 5,755
  Trophy Points: 280
  Je, Ni Vibaya?

  Huu afadhari; lakini siyo huo unaouweka kifuani!

  Je, kuna ubaya wowote kuwa karibu na mchumba wako (kulala kitanda kimoja bila sex huku tupo uchi) kabla ya ndoa?


  Kwa kuwa swali linako linazungumzia uchumba na si ndoa na umeongezea kipengele cha kulala kitanda kimoja tena uchi, kwanza kabla ya kufika mbali kile kitendo cha kulala pamoja kitanda kimoja kinaleta picha ya ukaribu wa kimapenzi.

  Swali kubwa linalonishangaza ni kwa nini mfike hadi hatua ya kulala pamoja tena uchi wakati hamhitaji kufanya sex?

  Tukio gani limewafanya kuamua kutafuta sehemu ambayo mtakuwa wewe ni mchumba wako, chumba ambacho mtakuwa wawili tu, mkubaliane kulala kitandani kila mmoja aanze kutoa nguo kuanzia layer ya nje hadi chupi, kinachozangaza zaidi mlale pamoja uchi; kama si kumtafuta shetani maneno ni kitu gani!

  Utawezaje kuweka makaa ya moto kifuani na usiungue?


  Kumbuka aina yoyote ya ukaribu unaohusisha hisia za mapenzi ni mali ya ndoa kati ya mke na mume na si uchumba.

  Ikitokea mwanaume na mwanamke ambao hawajaoana wakaenda kulala kitanda kimoja huku wapo uchi bila kufanya mapenzi bado ni dhambi.

  Point ya msingi ni kile kitendo cha kuwa uchi, kuangalia uchi, kugusa na kuchezeana mwili nk.

  Vitu hivi vyote vinatakiwa kutunzwa (reserved) kwa ajili ya marriage bed kati ya mke na mume.

  Mungu anaagiza kwa kijana wa kiume na wa kike kuwa safi (morally pure) hadi ndoa.

  Kuna maandiko mengi tu yanayozungumzia kwa upana, marefu na kina kuhusiana na mipaka ya kuweka kwa wachumba kabla ya ndoa.

  1 Wakorintho 6:18, Efeso 5:3, Wakolosai 3:5, 1 Wathesolanike 4:2,

  Ukaribu wowote unaohusiana na kuchezeana mwili (touching, caressing, cuddling, kisses etc) na mwingine au wote kuwa uchi hata bila sex ni kuvuka mipaka na ni DHAMBI.  Posted by Lazarus Mbilinyi at 5:02 AM 0 comments Links to this post
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,546
  Likes Received: 5,755
  Trophy Points: 280
  Kiungo Kimoja tu!


  Kwa mwanamke, raha anayopata kutokana na kufanya mapenzi (sex) na mume wake ni muhimu sana katika kukupa faraja na kuendelea kuwa na uhitaji wa sex mara kwa mara na mumeo.

  Tafiti nyingi (mfano WebMD, DrPhil) zinaonesha kwamba ni asilimia 50 -75 ya wanawake hawawezi kufika kileleni kwa njia ya kawaida (vaginal stimulation).

  Hii ina maana uume kuwa ndani ya uke na kuendelea na misuguano ya kuingia na kutoka kwa kila kona na pembe bado ni vigumu kwa mwanamke kufika kileleni.

  Hii haina maana kwamba mwanamke huwa hapati raha ya kimapenzi bali kiwango cha raha (enjoyment scale) ni ndogo ukilinganisha na mwanamke ambaye katika tendo la ndoa huwezeshwa kufika kileleni (orgasm).


  Je, siri ipo wapi?

  Siri ipo katika kiungo kimoja tu ambacho kinapatikana katika mwili wa binadamu ambapo huwa na nerves nyingi kuliko kiungo chochote katika mwili wa binadamu (mwanaume na mwanamke) yaani kisimi/kinembe/clitoris.


  Pia ni jambo linaloshangaza sana kwani kuna wanaume wengi na wanawake wengi (wamo madaktari, mainjinia, wabunge, mawaziri, marais, mashujaa mbalimbali, wachungaji, matajiri, maskini, wanaoishi mijini, wanaoishi shambani, wazungu, waafrika nk) hawaijui chochote kuhusiana na umuhimu wa hiki kiungo katika suala zima ya raha ya sex.


  Bottom line ni kwamba wanawake wengi huhitaji kusisimuliwa kisimi/kinembe kwa kila aina ya sanaa (manually & orally) kabla na wakati wa tendo la ndoa ili aweze kufika kileleni.

  Mapenzi ni sanaa na kwa kuwa ni sanaa hivyo kuna tips nyingi tu za mke na mume kusherehekea raha ya mapenzi hata hivyo kwa leo tuishie hapa.
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,546
  Likes Received: 5,755
  Trophy Points: 280
  Usimwachie yeye tu


  Kwa kuwa mume huwa na hitaji kubwa la sex katika ndoa mara nyingi (siyo mara zote), hii husababisha sex kuwa suala la kimwili (physical) kuliko mke unavyohitaji.


  Wanawake hukiri kwamba wanapozungumzia sex ni pamoja na kukumbatiwa (hugs &cuddling), busu na kushikana shikana kunakupelekea kuwa na maandalizi ya kutosha (foreplay) kuliko waume zao wanavyofanya yaani kukimbilia down there na kumaliza kazi.


  Jambo la kusikitisha zaidi ni kwamba wanandoa wengi wakiwa chumbani wanaume ndiyo huachiwa usukani wa kuendesha suala zima la mahaba na matokeo yake wake zao huishia kutoridhishwa.

  Kumbuka sex inapokuwa kwa ajili yake (mwanaume) basi huishia kuwa ni "routine" na mwisho huwa ni "boring"


  Kumwachia mwanaume (mume) kila kitu chumbani ni sababu mojawapo ya mwanamke (mke) kutoridhika kwani yeye si mwanamke ajue nini unahitaji kwa wakati huo na zaidi device zake zinafanya kazi tofauti na mwanamke.

  Hivyo kama wewe ni mwanamke ambaye umemwachia mume wako jukumu la kuongoza yote mnayofanya mkiwa chumbani na unajiona ni kweli haridhiki au huridhishwi inavyotakiwa basi anza sasa na wewe kuhakikisha unasaidiana naye kuweka mambo sawa.

  ‘Men read newspapers, not minds"


  Bottom line ni kwamba mwanamke yeyote anayekuwa mbunifu na anayependa kuimarisha masuala la sex; mume humpokea kwa mikono miwili kwani sex ni hitaji lake muhimu katika kukufanya awe karibu na mke wake.

  Hivyo tumia hiyo opportunity
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,546
  Likes Received: 5,755
  Trophy Points: 280
  Hapo tunaalikwa kwa kadi la nguvu!

  Iwe ni kanisani, au chini ya mti, au shambani, au kwenye park, au kwenye meli au angani kawaida kuna kitu kimoja ambacho hufanana ukiacha utofauti wa kimazingira nacho ni kwamba wahusika wote hujawa na furaha na matarajio mapya kwa ajili ya future.


  Bibi Harusi:

  Humeremeta mithili ya malaika, uso wake hufunikwa na furaha na namna anaonekana hutoa picha kamili namna alivyo na uhakika na matarajio yake ya ndoa yatakavyotimizwa.

  Anakuwa na mchecheto wa kuharakisha kutoa ahadi na kuweka agano mbele ya mume mtarajiwa na mbele ya Mungu.

  Anamshika mkono mwanaume ambaye amemchagua kuishi naye maisha yako yote yaliyobaki duniani.


  Baada ya miezi sita tu, jehanamu inaanza na machozi yanaanza kutiririka kwenye mashavu yake na anasema

  "Ni kitu gani nilikiona kwake hata nikajidanganya kuoana naye?"


  Bwana harusi:

  Anamshika mkono laini wa binti ambaye amemchagua katika maisha yake na sasa anaenda mbele za Mungu kutoa kiapo na ahadi ya kuishi pamoja katika raha na shida, afya na ugonjwa hadi kifo kitakapo watenganisha.

  Amemchagua kuwa malkia wake na kwamba anampenda, na kumlinda na kumpa mahitaji yake yote.

  Baada ya miezi sita na yeye analia machozi na kujuta

  "Inakuwaje jambo hili linatokea, nilidhani nimemfahamu vizuri hivi ni mwanamke gani nimeoa?"


  Kama hujaoa au kuolewa unatakiwa kuwa makini hili jambo lisitokee.

  Je, kwa nini baada ya kuoana watu hukutana na frustrations nyingi?

  Sababu kubwa ni:-

  Higher expectations and low preparations.

  Hata kama una nusu akili likija suala la kuona hakuna anayekuzuia kwani ni haki yako, ila jambo kubwa ni namna utakavyoweza kuishi kwenye ndoa yako.

  Nchi nyingi duniani zinaweza kukunyima leseni ya kuendesha gari ila likija suala la leseni ya kuoa (marriage certificate) unapata kirahisi tu.


  Unatakiwa kujua namna ya kuendesha gari kabla ya kuliendesha.

  Unatakiwa kujua elimu ya udaktari kabla ya kuanza kutibu wagonjwa.

  Unatakiwa kwenda chuo cha ualimu na kumaliza mafunzo ndipo uwe mwalimu.

  Je, una ufahamu na elimu ya kutosha kuhusu ndoa?

  Kuwa na matarajio makubwa sana kwa ndoa yako pia husababisha kuwa unhappy kwenye ndoa.
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,546
  Likes Received: 5,755
  Trophy Points: 280
  Hapo tunaalikwa kwa kadi la nguvu!

  Iwe ni kanisani, au chini ya mti, au shambani, au kwenye park, au kwenye meli au angani kawaida kuna kitu kimoja ambacho hufanana ukiacha utofauti wa kimazingira nacho ni kwamba wahusika wote hujawa na furaha na matarajio mapya kwa ajili ya future.


  Bibi Harusi:

  Humeremeta mithili ya malaika, uso wake hufunikwa na furaha na namna anaonekana hutoa picha kamili namna alivyo na uhakika na matarajio yake ya ndoa yatakavyotimizwa.

  Anakuwa na mchecheto wa kuharakisha kutoa ahadi na kuweka agano mbele ya mume mtarajiwa na mbele ya Mungu.

  Anamshika mkono mwanaume ambaye amemchagua kuishi naye maisha yako yote yaliyobaki duniani.


  Baada ya miezi sita tu, jehanamu inaanza na machozi yanaanza kutiririka kwenye mashavu yake na anasema

  “Ni kitu gani nilikiona kwake hata nikajidanganya kuoana naye?”


  Bwana harusi:

  Anamshika mkono laini wa binti ambaye amemchagua katika maisha yake na sasa anaenda mbele za Mungu kutoa kiapo na ahadi ya kuishi pamoja katika raha na shida, afya na ugonjwa hadi kifo kitakapo watenganisha.

  Amemchagua kuwa malkia wake na kwamba anampenda, na kumlinda na kumpa mahitaji yake yote.

  Baada ya miezi sita na yeye analia machozi na kujuta

  “Inakuwaje jambo hili linatokea, nilidhani nimemfahamu vizuri hivi ni mwanamke gani nimeoa?”


  Kama hujaoa au kuolewa unatakiwa kuwa makini hili jambo lisitokee.

  Je, kwa nini baada ya kuoana watu hukutana na frustrations nyingi?

  Sababu kubwa ni:-

  Higher expectations and low preparations.

  Hata kama una nusu akili likija suala la kuona hakuna anayekuzuia kwani ni haki yako, ila jambo kubwa ni namna utakavyoweza kuishi kwenye ndoa yako.

  Nchi nyingi duniani zinaweza kukunyima leseni ya kuendesha gari ila likija suala la leseni ya kuoa (marriage certificate) unapata kirahisi tu.


  Unatakiwa kujua namna ya kuendesha gari kabla ya kuliendesha.

  Unatakiwa kujua elimu ya udaktari kabla ya kuanza kutibu wagonjwa.

  Unatakiwa kwenda chuo cha ualimu na kumaliza mafunzo ndipo uwe mwalimu.

  Je, una ufahamu na elimu ya kutosha kuhusu ndoa?

  Kuwa na matarajio makubwa sana kwa ndoa yako pia husababisha kuwa unhappy kwenye ndoa.
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 542
  Trophy Points: 280
  EEEEEEEEH mama mia mbona hutupi break wenzio ...naona uvivu kusoma ! ngoja ni print
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,546
  Likes Received: 5,755
  Trophy Points: 280
  Asubiri kwanza!


  Moja obstacle ya kuridhishana kimapenzi kwa wanandoa ni suala la timing.

  Tunaposema timing tunamaana kwamba badala ya jambo kufanyika katika wakati sahihi na hufanyika kinyume chake.

  Mke anaweza kuanza kumsisimua mume (manually & orally) na baada ya mume kusisimka sawasawa wanaendelea moja kwa moja kwenye intercourse.

  Kwa kuwa mume amesisimka zaidi kuna uwezekano mkubwa kwa mume kufika kileleni haraka sana na Kumwacha mke bila kuridhishwa.

  Matokeo yake mke anakuwa frustrated kwani pamoja na juhudi zake za kumsisimua mume wake haikuchukua hata dakika 3 mume kumaliza.

  (Kufika kileleni wakati mke kwanza bado ndo alikuwa anaanza kufurahia).


  Je, ushauri muhimu ni upi?

  Jawabu rahisi ni kuwa na timing nzuri; baada ya mke kumsisimua mume kwa uhakika inatakiwa mume apumzike huku mume akiendelea kumsisimua mke kwa kiwango cha kukaribia au hata kumfikisha mke kwa mara ya kwanza kileleni (manually & orally) na ndipo mume aanze kumuingia mke (intercourse).

  Kwa njia hii mwanamke huwa tayari yupo njiani au tayari kufika kileleni na mume atakuwa anaanza upya kusisimka (amezitunza risasi zake) na inamchukua muda zaidi kufika kileleni na anaweza pia kufika kileleni wakati mmoja na mke wake.

  Pia ni muhimu kwa mke kuwa wazi kwa mume wakati wa intercourse kumwelekeza mume namna na kiwango cha thrusting anayohitaji kutokana na msisimko anaoupata kwa kupunguza au kuongeza speed
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,546
  Likes Received: 5,755
  Trophy Points: 280
  Haya ngoja niamie kwa wakubwa
  malizia zote leo lazima akutambue best
   
 9. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #9
  May 6, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  ndio ndio Mama Mia leta somo.
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,546
  Likes Received: 5,755
  Trophy Points: 280
  lazima waume zetu tuwashugulikie vizuri ati tatizo tukiachwa tunakimbilia lawama wakati shuguli umeshindwa mwenyewe yaan hata kuja JF sh 500 unakula somo la miaka 20 ya MAISHA yako....wanawake msiwachekee hao...kwenyene naniino fanyen kweli ...
  kazi kwenu
   
 11. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Wacha niprint nimkimbizie mama nanihii!

  Mwaga nondoz mama!
   
 12. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 969
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  SI VIBAYA, ila mimi siwezi vumilia. Nikiona tu nawehuka na nitakubaka tu.....labda uwe na kasoro. Paja tu likionekana balaa, sas ndo iwe River between? hebu acha kutujaribu, najua hata wewe huwezi!
   
 13. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,494
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  hii topic imenishinda kwanza ni ndefu pili haieleweki vizuri lol
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,546
  Likes Received: 5,755
  Trophy Points: 280
  tena fanya haraka barabara za lukuvi zinaanza ufungwa muda si mrefu
  CHUKUa NA HIO

  The Price!


  You can run a red light and nothing happens, you can speed up and get away with it.

  But other times you better be ready to pay the price.

  Every relationship occasionally throws up “red flags” a warning sign that something needs to be checked out a little more and carefully.


  Angalia usichelewe kurudi ukaitia nyumba Ndogo maana wagen wamesaidia mambo mengi wengine awarudi muda wa kawaida wanadai folen ya WEF JOB TRUE TRUE
   
 15. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #15
  May 6, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,546
  Likes Received: 5,755
  Trophy Points: 280
  kijana ushazoea vifupi wewe

  virefu vina raha yake baba muulize mkunga wetu fl 1...ata ku pm
   
 16. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #16
  May 6, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Mama Mia ulikolala leo ni pazuri!
   
 17. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #17
  May 6, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 542
  Trophy Points: 280
  Mama mia asante sana nilitoka kwenye Topic baada kusoma kidogo na kuona uvivu akili nyingine ikaniambia hebu rudi kwenye hiyo Topic kuna jambo unapaswa kutambua wewe mama wa Kizamani ...

  hahaha nimejifunza jambo mpendwa Be blessed ..ngoja nikakupe haki yako pale paliponikuna ...
   
 18. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #18
  May 6, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 542
  Trophy Points: 280
  Tukiachwa tunakibimbilia kwa sangoma!!
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  May 6, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hehehehe dah naona leo ulokole umeuweka pembeni.
   
 20. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #20
  May 6, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Well said Mama Mia.
   
Loading...