junior mzolo
Senior Member
- Jan 26, 2014
- 140
- 7
Kuna madhara yoyote kwa mtu kulala sana
Kuna madhara yoyote kwa mtu kulala sana
Mkuu una minyoo hatari.nenda kwa wamasai waambia unataka dawa ya kutapika nyonyo kuna ya powder na miti waambie wakupe ya miti waikatekate kisha kachemshe unywe kama lita 1.mkuu utaarisha vitu vyeupeee na utakuwa ulali hovyo kama nguruwe tena.
uwii mbona umenitisha kulala ni minyoo kumbe?
Asante sana kaka kwa ushauri ntazingatia maelekezo yako