Kulala kwenye public kuna raha yake.!

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
7,659
12,283
Xxx
 

Attachments

  • IMG-20180601-WA0029.jpg
    IMG-20180601-WA0029.jpg
    103.4 KB · Views: 125
  • IMG-20180601-WA0024.jpg
    IMG-20180601-WA0024.jpg
    80.7 KB · Views: 119
Heshima zenu wote.
Kumekuwa na watu waliokuwa wakimsema vibaya Lowassa kuwa analala kwenye mikutano yake ya siasa.
Leo mama yetu RC wa Kilimanjaro kwenye KARIBU/KILIFAIR exhibition naye amesinzia kama sio kulala.
Kulala kwenye public kuna raha yake.!View attachment 791516View attachment 791518
Kweli wazungu ni noma! Check huyo mzungu the way alivokaa kistaarabu na kidiplomasia zaidi,na hao wabongo,mwingine anaota,mwingine anachat na mchepuko whatsapp,mwingine kakunja 4 kama vile yuko lounge
 
Back
Top Bottom