Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,659
- 12,282
Ukijamba ndio utajua ni raha au karaha
Ukijamba ndio utajua ni raha au karaha
Kweli wazungu ni noma! Check huyo mzungu the way alivokaa kistaarabu na kidiplomasia zaidi,na hao wabongo,mwingine anaota,mwingine anachat na mchepuko whatsapp,mwingine kakunja 4 kama vile yuko loungeHeshima zenu wote.
Kumekuwa na watu waliokuwa wakimsema vibaya Lowassa kuwa analala kwenye mikutano yake ya siasa.
Leo mama yetu RC wa Kilimanjaro kwenye KARIBU/KILIFAIR exhibition naye amesinzia kama sio kulala.
Kulala kwenye public kuna raha yake.!View attachment 791516View attachment 791518
Kwani ingekuwa tendo la aibu yeye angefanya hadharani.ujinga mtupu,angekua mama yako ungemchoresha hivyo?
Wewe mrudishie adabu niliyomkosea.!Umemkosea adabu, sababu mama mwenyewe hajawahi kuwa na siasa chafu.
Kuna watu wanapenda harufu za vijambo,kwa hiyo hakuna karaha!Ukijamba ndio utajua ni raha au karaha
ujinga mtupu,angekua mama yako ungemchoresha hivyo?