Kula tende na nanasi kabla ya tendo, then ingia mzigoni kisha njoo hapa unishukuru

Hata ule tende gunia zima, na nanasi ule na maganda yake kabisa, bado haisaidii kitu. Kama mwanamke unaeenda kukutana nae ni guluguja, polygon shape, bwawa, gogo na hana amsha amsha, basi utaishia kupiga kimoja tuu cha kichovu sana na baada ya hapo mashine haitasimama tena asilani.
Tende kilo 1 na nanasi zima na muda usio pungua dakika 15 Mara baada ya kumaliza kula ✍✍✍✍✍✍✍✍✍
Swali unakuwa mcharo kwa bao ngapi
 
Hakika kasinde matata
Sasa sugar, kuwa mpole banaa....wee unataka uwe sukari pekeyako?

Acha na wenzio watoe zenye utamu utamu kama wewe, japo wako ni wa kuzaliwa nao wenzako wanaoupata kwa kula hayo mafomyula .......

Ila endelea kuhamaki, tende kilo moja watakuzidi utamu aiseeh.... Nanasi lenyewe ni sukari tosha ukiongeza na tende itakuwa kuna research wanafanya aahahahahahahahhaaaaa

Ila pia huwezi jua yaweza kuwa ni kinga ya mafua ya Corona aahahaahahahaa

Katika vitu huwa napenda kuwa tease wanaume ni kwenye nguvu za kiume. Sikuzote wanawake tunahadaika haraka sana kwenye kununua viatu vyakula nguo pochi vyombo hata kama tunavyo ndani na mfanyabiashara akachukua pesa yetu kirahisi tuu.

Ila ukitaka kula pesa ya wanaume wa leo kirahisi uje na kitu cha kula useme kinaongeza nguvu za kiume na ikisimama inalala baada ya masaa 4 aahahahahahahaa hata ambao hailali watataka wainunue kama kinga zisije pungua baadae aahahahahahahahaha

Haya muulize mleta mada unazila raw au uzisage smoothie nikusaidie kusaga aahahahahahahahahhahaaa


Kasinde Matata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom