Kula papuchi kwa jina la joketi mwegelo

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
14,937
26,647
Kupitia akaunti yake ya facebook, mwanamitindo na mjasiriamali Joketi Mwegelo, ametoa tahadhari kwa wananchi kuhusu uwepo wa mtu anayetumia jina la Joketi Mwegelo kuwatapeli akina dada mbalimbali wa kibongo kwa ahadi ya kuwapa deals za kufanya modelling plus kuwaingiza katika mahusiano ya kimapenzi..Kwa sentensi nyingine, huyu jamaa anacho kifanya ni KULA PAPUCHI KWA JINA LA JOKETI MWEGELO..

jokate.PNG
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom