kula na kula tena

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,475
39,991
Kama mnakula ni lazima kila mkimaliza mlo mmoja muoshe vyombo au mnaendelea kuongeza kupakua na kula, mkiwa mmeshamaliza kabisa ndiyo mnaosha vyombo? Inakuwaje kama mmoja wenu kila baada ya kula anakimbia jikoni kwenda kuosha vyombo wakati mwingine bado ana njaa?
 
Wathungu wanasema hana table manners. Waafrika wangeliweza sema hana heshima au adabu, kutegemea umri wake.
Kama ni hawa wagwiji tunaowaona kila siku katika zunguka zunguka zetu mzee wangu, kama umewahi kujaribu waita ili kula nao, ujue wanapenda kula kuliko uwezo wa matumbo yao. Halafu pia ujue wengi wamekosa adabu maana wewe ni mkubwa kuliko wao au wale mnaofanana umri wameamua kukukosea heshima. Uwavumilie mzee
 
Kama mnakula ni lazima kila mkimaliza mlo mmoja muoshe vyombo au mnaendelea kuongeza kupakua na kula, mkiwa mmeshamaliza kabisa ndiyo mnaosha vyombo? Inakuwaje kama mmoja wenu kila baada ya kula anakimbia jikoni kwenda kuosha vyombo wakati mwingine bado ana njaa?

...mnh? :D ...

...raha ya chakula ni usafi!
Huyo anayekimbilia kukosha baada ya mlo kafundwa vyema.
 
ukimuona anakimbilia kuosha vyombo ujue anaoga shibe itamtia uvivu mwisho wake vyombo vichafu vitarundikana tu vinaangaliana na ni uchafu.kwahio anaosha ili akienda kupumzika ndio kapumzika na sio mbaya kwani inaonesha hali ya usafi.
 
...mnh? :D ...

...raha ya chakula ni usafi!
Huyo anayekimbilia kukosha baada ya mlo kafundwa vyema.

sasa wakati mwingine kula inabidi usikilizie ladha yake; sasa kabla hata hakijatua tumboni mwenzio kakimbia kwenda kuosha vyombo..
 
Mmh, Mwanakijiji una mambo! Nadhani kwa sababu za kiafya kama unakula na kupumzika, ni vyema vyombo vikasafishwa wakati wa mapumziko maana bakteria hawachelewi kupiga kambi kwenye vyombo vichafu!

Siku hizi unaongelea sana chakula, umeanza kwa kukisifia kule kwenye jukwaa la lugha na leo umekuja na hii - kunani?

Annina
 
Kama mnakula ni lazima kila mkimaliza mlo mmoja muoshe vyombo au mnaendelea kuongeza kupakua na kula, mkiwa mmeshamaliza kabisa ndiyo mnaosha vyombo? Inakuwaje kama mmoja wenu kila baada ya kula anakimbia jikoni kwenda kuosha vyombo wakati mwingine bado ana njaa?

Kama bado ana njaa anaweza aka kamata kitafunio aki subiria mlo ujao.
 
Mmh, Mwanakijiji una mambo! Nadhani kwa sababu za kiafya kama unakula na kupumzika, ni vyema vyombo vikasafishwa wakati wa mapumziko maana bakteria hawachelewi kupiga kambi kwenye vyombo vichafu!

Siku hizi unaongelea sana chakula, umeanza kwa kukisifia kule kwenye jukwaa la lugha na leo umekuja na hii - kunani?

Annina

tangu ujana waliniambia ati napenda sana kula halafu mtu mwenyewe kimbaumbau!
 
...mnh? :D ...

...raha ya chakula ni usafi!
Huyo anayekimbilia kukosha baada ya mlo kafundwa vyema.

Kwa kuongezea Mbu, ukiosha sahani unaifanya iwe na ile hali ya upya! lakini ukiendelea kuongeza chakula ndani ya sahani ile ile itafikia wakati sahani utaiona kama inapwaya kwani ile sehemu ya kuwekea chakula safi itaonekana ndofo. But ukiosha kisha ukaweka tena chakula utajihisi kama umeweka kwenye sahani ambayo haijawahitumiwa. Chunguza mzee utagundua na hasa mpishi awe anajua namna ya kuosha vyombo sio ile ya kudumbukiza tu kwenye beseni la maji na kutoa.
 
inawezekana huyo akila huwa anajichafua sana! basi inabidi atumie kitambaa kikubwa au akimaliza kila mlo aende kuosha 'bakuli' teyari kwa mlo mwingine.....
 
Kama mnakula ni lazima kila mkimaliza mlo mmoja muoshe vyombo au mnaendelea kuongeza kupakua na kula, mkiwa mmeshamaliza kabisa ndiyo mnaosha vyombo? Inakuwaje kama mmoja wenu kila baada ya kula anakimbia jikoni kwenda kuosha vyombo wakati mwingine bado ana njaa?

ni kafumbo kazuri, kametulia japo wajanja wameishakafumbua...................

mambo ya kula na kuosha hutegemea mafundo na kiwango cha uvivu manake wengine tumekutana na wavivu wanaosema wamechoka kuosha na hata kufuta makombo, wansema viache vyombo vikauke wakati tunapumzika halafu vikishakauka tunapakua tena na kuendelea kule .............. vyombo vilevile bila kuoshwa!!!!!!!!!!!! tembea uyaone wa kijiji!!!!!!!!!!!!!!!

Mmh, Mwanakijiji una mambo! Nadhani kwa sababu za kiafya kama unakula na kupumzika, ni vyema vyombo vikasafishwa wakati wa mapumziko maana bakteria hawachelewi kupiga kambi kwenye vyombo vichafu!

Siku hizi unaongelea sana chakula, umeanza kwa kukisifia kule kwenye jukwaa la lugha na leo umekuja na hii - kunani?

Annina

mi nadhani na hii ingeenda kule kwenye jukwaa la lugha, manake bado nakumbuka mambo ya fani na maudhui na naona inanyanbulika vyema kwa hizo nyanja...........
 
Msimseme, msishangae kama anapenda kula. Wa kijiji atangazia manyang'au tabia za unaekula nae, unataka wakuombe nao wale nae?
 
ni kafumbo kazuri, kametulia japo wajanja wameishakafumbua...................

mambo ya kula na kuosha hutegemea mafundo na kiwango cha uvivu manake wengine tumekutana na wavivu wanaosema wamechoka kuosha na hata kufuta makombo, wansema viache vyombo vikauke wakati tunapumzika halafu vikishakauka tunapakua tena na kuendelea kule .............. vyombo vilevile bila kuoshwa!!!!!!!!!!!! tembea uyaone wa kijiji!!!!!!!!!!!!!!!

Need I say more AK?.... Dont think so! Thanx

Ndo maana kule kwetu huwa tunaambiwa ni vema kuweka thermos ya maji ya vuguvugu chini ya meza ya kulia chakula ili kama unaona uvivu kupeleka kijiko jikoni kuosha basi unatumia maji hayo unasafishia kwenye kibeseni kidogo chini ya meza kisha wakipangusa na kitambaa cha vyombo tayari kutumiwa mara ya pili.

Ila siku hizi mambo ya kitchen za ndani yameharibu mila kama hizi maana mpishi anawezakutegea na kumwacha mlaji kwenda kuosha kijiko chake mwenyewe (bahati mbaya kuna walaji wengine wavivu wanaishia kupangusa vijiko kwenye vitambaa vya meza (table cloth).

Ah Mwanakijiji umenikumbusha mbali leo.
 
Inaategemea Mwanakijiji chombo gani kionshwe kabla na baada ya kula,Mamangu alinifunza "MWANANGU UKIMALIZA KUPIKA TU!MWIKO UOSHE"MAANA USIPOOSHA UTAKUWA MCHAFU UTASHINDWA KUPIKIA TENA!UKIMALIZA SAFISHA NA BAKULI ILI UPATE KUTENGA TENA CHAKULA CHOMBO KIKIWA SAFI.
 
Unakula mpaka unashiba ndo unaosha vyombo! unakula cha kwanza cha pili na cha tatu baaasi kaoshe vyombo
 
Pia si vyema kuendelea kula kama chombo hakina usafi ..huwezi weka chakula katika chombo kichafu ..hata tamu hukinai..
 
Need I say more AK?.... Dont think so! Thanx

Ndo maana kule kwetu huwa tunaambiwa ni vema kuweka thermos ya maji ya vuguvugu chini ya meza ya kulia chakula ili kama unaona uvivu kupeleka kijiko jikoni kuosha basi unatumia maji hayo unasafishia kwenye kibeseni kidogo chini ya meza kisha wakipangusa na kitambaa cha vyombo tayari kutumiwa mara ya pili.

Ila siku hizi mambo ya kitchen za ndani yameharibu mila kama hizi maana mpishi anawezakutegea na kumwacha mlaji kwenda kuosha kijiko chake mwenyewe (bahati mbaya kuna walaji wengine wavivu wanaishia kupangusa vijiko kwenye vitambaa vya meza (table cloth).

Ah Mwanakijiji umenikumbusha mbali leo.

hiyo idea ya thermos na kibeseni ni very useful..........

imajine kama diniing yako sio self contained, halafu ila ukimaliza mlo mmoja unatoka nje kwenda public kitchen kwenda kuosha vyombo, na unapishana hapo na watu wasiohusika mezani, pengine hata wanao na wengine wanaweza kuwa wana njaa pia! sio ustaarabu, kama umepanga chumba kimoja nafikiri hii strategy ndio muafaka zaidi...........................
 
Back
Top Bottom