Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,211
- 113,520
Nina hamu sana ya kucheza tena huu mchezo. Nakumbuka enzi hizo tulikuwa tunakusanya mchanga, tunatengeneza kama ka mlima flani halafu tunachomeka kijiti juu katikati. Halafu tunaanza kuula kidogo kidogo hadi kijiti kinadondoka. Atakayekula mwisho na kukidondosha kijiti alikuwa anadundwa mingumi kaa mwizi hadi anatia akili. Ningependa tena kuucheza huu mchezo na baadhi ya watu humu ndani akiwemo GT, FMES, MaxShimba, na YoYo....