Kula mbakshie baba

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,210
113,500
Nina hamu sana ya kucheza tena huu mchezo. Nakumbuka enzi hizo tulikuwa tunakusanya mchanga, tunatengeneza kama ka mlima flani halafu tunachomeka kijiti juu katikati. Halafu tunaanza kuula kidogo kidogo hadi kijiti kinadondoka. Atakayekula mwisho na kukidondosha kijiti alikuwa anadundwa mingumi kaa mwizi hadi anatia akili. Ningependa tena kuucheza huu mchezo na baadhi ya watu humu ndani akiwemo GT, FMES, MaxShimba, na YoYo....
 
OPP umenikumbusha longiiii duh!!! niongeze kwenye list yako nitahakikisha nakundunda mpaka u-throw out
 
Lol...ngumi zako zitakuwa kama massage....nitakuachia unidunde tani yako...si unajua tena wahenga walisemaga kofi la mpenzi haliumi (samahani Nkwingwa hii ni methali tu..)
 
hhaaaaaaaaaaaaaa lol!!!!!
 
Nina hamu sana ya kucheza tena huu mchezo. Nakumbuka enzi hizo tulikuwa tunakusanya mchanga, tunatengeneza kama ka mlima flani halafu tunachomeka kijiti juu katikati. Halafu tunaanza kuula kidogo kidogo hadi kijiti kinadondoka. Atakayekula mwisho na kukidondosha kijiti alikuwa anadundwa mingumi kaa mwizi hadi anatia akili. Ningependa tena kuucheza huu mchezo na baadhi ya watu humu ndani akiwemo GT, FMES, MaxShimba, na YoYo....

Umedata Nkwingwa...Nimecheka sana hapa
 
Namuona shem langu Binti Maringo kwa mbaaaaaali kule..Huyu naye pia atafaa kuwepo kwenye mchezo wako huu Nkwingwa wa kula mbakshie baba
 
Oh yeah huyu naye atafaa. Ila huyu atafaa zaidi kwenye ule mchezo baba na mama.....unaukumbuka huu Nkwingwa? Nimeucheza sana huu enzi zangu
 
Balantanda na OPP you are crazy actual OPP hujakose amimi kwenye mchezo wa baba na mama nilikuwa nakuwa mama kila wakati na baba alikwua kaka mmoj ahivi anaitwa Steven sijui yule kaka yupo wapi!....alikuwa kichuna eeh!....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom