Kula 'chakula cha kikubwa' mara kwa mara kunaweza kuleta madhara katika uzazi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kula 'chakula cha kikubwa' mara kwa mara kunaweza kuleta madhara katika uzazi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pape, Jul 27, 2010.

 1. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  :whoo:
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ur real MTOTO.
  its gud 4u to make gud option at ya age
  kazana kusoma na jipange kimaisha
  pole
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Jul 27, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Achana na mambo ya kula chakula cha wakubwa wakati bado huna mpango wa kuoa, jipange kwanza kimaisha mkuu haya mambo yapo tu!
  Mojawapo ya madhara ni huo uchovu!
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  Umewajulisha wazazi wako kuwa huwa unakula chakula cha kikubwa?
   
 5. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  :nono:
   
 6. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Aziniye na mwanamke hana akili kabisa, anafanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
   
 7. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kuzini ni nini?:smile:
   
 8. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  mmmh, hii statement haijakaa vizuri kabisa. Hapo shida ni kuzini na mwanamke au kuzini kwa ujumla? Unataka kusema atakayezini na shoga au na mnyama huyo ana akili na hataangamia?
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,488
  Trophy Points: 280
  Ila aziniye na mwanaume mwenziye huyo ana akili timamu na hafanyi jambo litakaloangamiza nafsi yake. Wote semeni Haleluya!
   
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Nakumbuka kule jamaa aliuliza tuzini na nani sasa au tuzini na midog hahahaa
   
 11. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  :bowl::bowl::bowl:
   
 12. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  No comment!:tape:
   
 13. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,415
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  utoto tu akikua hataacha hawa ndio wale wanaopiga game mpaka wanaishiwa maji mwilini
   
 14. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ataacha!:bathbaby:
   
 15. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,562
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hivi ni gr6 thinkers au sinkers maana jamaa kasema ameoa, watu mmekomaa ooh aziniye sijui na nani.......aaaargh muwe mnasoma vizuri kwanza bana.
   
 16. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Nimeoa! ...

  :confused2:....:pray:....
   
 17. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  akacheze chandimu uko
   
 18. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  :A S angry:
   
 19. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,562
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ni wivu au ???
   
 20. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2010
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Me pia nimeshangazwa na hawa great thinkers! Mwenzenu amesema ameoa, watu wanasema anazini. Nani kasema miaka 24 ni mtoto mdogo? Anaweza kuwa mdogo sana kiumri kwako, lakini ni mtu mzima mwenye akili zake!

  Kama mtu ameuliza swali, jibu, sio kuwa off point. Me mbona mama yangu aliolewa na miaka 20? Ni mpango wa maisha tu. Wale wanaosema asihangaike na mapenzi, akazane na elimu, kwani yeye amesema hasomi? Tuache kupayuka.

  Watu tunadhani kuwa ukubwa wa umri ndio umezo wa kufikiria. Kama ingelikua ni kweli, basi msamiati wa KUBWA JINGA usingekuwepo.

  Kwa upande wangu, Pape ameonyesha uwezo mzuri tu wa kufikiri, kuliko wengi tu waliotupa madongo bila kuelewa wanajibu nini.

  Bottom line:
  Hakuna madhara ya kiafya, ladba kama yatasababishwa na matatizo mengine nje ya hapo. Kama ni mkeo mridhishe, achana nao hao wanaopayuka. Na kama unaona hauko katika nafasi ya kuwa na mtoto sasa hivi, ni vyema usubiri.

  I like it, umeonyesha una plan ya maisha.
   
Loading...