Ni mke wako?
Mke wakoMwanamke mke wako au mchepuko.
wapo wanaosema mkikutana halaf msioge mtoto hudhurika hivo mkishamaliza shughuli yenu zingatieni usafiMke wako
Kwani ungetumia busara kujibu ungepungukiwa niniOsha dushe lako vizuri kwenye beseni kisha yale maji ummwagie yule mtoto..... gonga any time unajisikia ila hayazuii mimba nyingine kuingia!
Aiseeee.. Africa is for Africans, Black Africans.Osha dushe lako vizuri kwenye beseni kisha yale maji ummwagie yule mtoto..... gonga any time unajisikia ila hayazuii mimba nyingine kuingia!
Aiseeee.. Africa is for Africans, Black Africans.
Kwani ungetumia busara kujibu ungepungukiwa nini
Umeuliza swali... sasa unatupangia jinsi ya kukujibuKwani ungetumia busara kujibu ungepungukiwa nini
Naomba wataalamu mnisaidie kumekuwa na maneno mengi kuhusu kufanya mapenzi na anayenyonyesha kwamba utamsababishia matatizo mtoto je kwa mfano inatakiwa kukutana mara ngapi kwa wiki kwa mwanamke anayenyonyesha?
wapo wanaosema mkikutana halaf msioge mtoto hudhurika hivo mkishamaliza shughuli yenu zingatieni usafi
Mkuu mbona unahasira sana na Mimi? Mimi naumagharibi wapi na wapi? Me mwenyewe mtoto wa mbwa tu.Ndo sisi pure Africans mliotuletea u ma gharibi wenu... tulikuwa na maisha yetu matamuuuuuu bila makansa na matakataka mengine! mavidonge yenu ya majira na uzungu wenu umetuharibia maisha. Mila na desturi zetu ambazo leo zinaonekana za kishamba...... mfyuuuuuuuu!
N sayansi ipi inatofautisha hayo mambo.? Yn kitu gn kwenye mwili wa mwanamke kitatofautisha kuwa huu ni mwili wa baba wa mtoto na huyu sio baba wa mtoto.1. Mama kutembea nje ya baba wa mtoto ni nikumkaribishia mtoto matatizo
- homa za hovyohovyo nakukosa furaha na utasumbuka sana kutibu mtoto lakini atakuwa mdhoofu muda wote.
2. Mke na mume (baba na mama wa mtoto)
Hakuna tatizo isipokuwa mnaweza kutunga mimba nyinge mapema sana msipokuwa makini kiasi kwamba huyo anayenyonya akaathilika nakukosa afya bora kwasababu mama yake mjamzito na hivyo maziwa yake mushkeli kunyonywa sio salama sana.... yamechacha.
Mama kutembea na mwanaume asiyebaba wa mtoto kunamuathili mtoto kwasababu ya chemikali za majasho nk apatazo mama kutoka kwa mvamizi.