Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,668
- 149,840
Najua katiba inaruhusu raia kukusanyika mahali popote mradi tu wasifunje sheria(unlawful assembly).
Ndio maana tunakusanyika misibani, makanisani, misikitini,mahakamani,viwanjani,n.k.
Kuna baadhi ya maeneo maalumu yana restrictions maalumu kwasababu maalumu ila sijui kama hata kwenye vituo vya Polisi ni makosa watu kukusanyika.
Nadhani kifuatacho sasa ITV itakuwa ni marufuku hata kukusanyika mahakamani.