Kukua kwa technology kumesaidia vipi kupunguza rushwa?

akhilly

Member
Nov 3, 2017
43
34
Ikiwa wewe ni msomi, na umepata nafasi ya kufanyiwa interview mahala fulani, ukakutana na swali linalo sema " kukua kwa technology kumesaidia vipi kupunguza rushwa"" . Utatoa hoja zipi msomi wewe?
 
Tafuta mtoto wa std 4 akujibu swali lako tudogo tusana tuhili
 
Ikiwa wewe ni msomi, na umepata nafasi ya kufanyiwa interview mahala fulani, ukakutana na swali linalo sema " kukua kwa technology kumesaidia vipi kupunguza rushwa"" . Utatoa hoja zipi msomi wewe?
Matumizi ya simu, cctv cameras, internet n vitu vinginevyo hebu fikiria ni vp zinapunguza rushwa....swali rahisi sana hilo huitaji great thinkers
 
Kitendo cha kusumbua akiri tu ushakua thinker au hujui?
 
Back
Top Bottom