Tafuta mtoto wa std 4 akujibu swali lako tudogo tusana tuhiliIkiwa wewe ni msomi, na umepata nafasi ya kufanyiwa interview mahala fulani, ukakutana na swali linalo sema " kukua kwa technology kumesaidia vipi kupunguza rushwa"" . Utatoa hoja zipi msomi wewe?
Matumizi ya simu, cctv cameras, internet n vitu vinginevyo hebu fikiria ni vp zinapunguza rushwa....swali rahisi sana hilo huitaji great thinkersIkiwa wewe ni msomi, na umepata nafasi ya kufanyiwa interview mahala fulani, ukakutana na swali linalo sema " kukua kwa technology kumesaidia vipi kupunguza rushwa"" . Utatoa hoja zipi msomi wewe?