Kuku wangu wameshuka utagaji sijajua shida ni nini msaada kwa anaejua sababu

emasingija

New Member
Apr 23, 2019
4
3
Habarini ndugu wafugaji na wakulima,

Nina kuku wa mayai ambao wana mda wa miezi mitatu toka wameanza kutaga mwanzo walikuwa wanaenda vizuri kila wiki utagaji ulikuwa unapanda nilifikia tray 6 kwa siku lakini mpaka leo nakusanya tray 4 shida yawezakuwa nini ndugu.

Msaada changamoto zinazopelekea hiyo hali.
 
Back
Top Bottom