Mulhat Mpunga JF-Expert Member Oct 28, 2010 27,263 16,287 Nov 25, 2016 #2 Amavubi said: Click to expand...
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Mar 25, 2016 10,522 13,110 Nov 25, 2016 #5 Huyo anatufaa wapenda kuku yaani unakula hadi hamu yote ya kuku inaisha!
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,142 13,216 Nov 25, 2016 Thread starter #6 huyu jamaa aendelee kufuatiliwa
K Kamuna JF-Expert Member Mar 19, 2009 298 52 Nov 25, 2016 #7 Amekaa kama yale Ma turkey yanayoliwa sana siku ya thanksgiving kule kwa Trump!
Yegomasika JF-Expert Member Mar 21, 2009 13,164 61,249 Nov 25, 2016 #8 Kamuna said: Amekaa kama yale Ma turkey yanayoliwa sana siku ya thanksgiving kule kwa Trump! Click to expand... Kama hilo hapo mezani. Jana ndio ilikuwa siku mahususi ya kuyatafuna hayo madude!
Kamuna said: Amekaa kama yale Ma turkey yanayoliwa sana siku ya thanksgiving kule kwa Trump! Click to expand... Kama hilo hapo mezani. Jana ndio ilikuwa siku mahususi ya kuyatafuna hayo madude!
Ruge Opinion JF-Expert Member Mar 22, 2006 1,838 701 Nov 25, 2016 #9 GMO Kuku. Genetically Modified. Enjoy ununue cancer mbele ya safari.