KUKU WA NYAMA WANAPOLISHWA ARV's ILI WANENEPEANE

Renegade

JF-Expert Member
Mar 18, 2009
7,127
6,764
Kuna taarifa ambayo niliipata kwa mmoja wa marafiki zangu kuwa Kuna wafugaji wa kuku wanawalisha Kuku wao dawa za kurefusha maisha za wagonjwa wa ukimwi( ARV) , ili wanenepe na kuuzwa kwa bei nzuri.
Nina hakika humu kuna madakitari wengi naomba nifahamishwe hii ina madhara gani kwa afya ya mtu ambaye hajaambukizwa HIV?
 
Back
Top Bottom