Kuku wa kisasa 150 kwa 4500/= tu wanapatikana

MUJUNI JR

Member
Dec 7, 2012
23
5
Wakuu nilikuwa na kuku wa nyama (wa kisasa) 500 nimeuza wamebaki 150.bei yangu ni Tsh 4500 each.Wanauzito wa wastani si wadogo (Sijapima uzito wao).kama unahitaji ni pm au piga no.0763953759 tafadhali.Wapo Afrikana Mbezi.
 
Ukichukua wote kwa mpigo tunaweza kushare transport cost.Karibuniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
We ni mhaya? Nilikuwa na kuku 500............
Sema zaidi ya asilia 80% washanunuliwa wahi mapema
 
Duh heading inapoteza kweli! Mi nilifikiri wote kwa 4500, hata nisingefungua uzi huu.
 
Back
Top Bottom